uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,910
- 38,640
Nianze kwa kuwapa pole na mihangaiko ya siku nzima..
Wana JF kuna jambo hua nakosaga jibu kabisa pengine mtaweza kunisaidia..
Kwanini unakuta mwanamke anafanya kazi yake nzuri tu na ana kipato kizuri lakini utashangaa anataka mwanaume ndio amnunulie kila kitu...pesa zao hivi wanafaniaga nini?.
I assume it's 100%, lakini Ngoja nijibu kisiasa 99.9% women are very interesting creatures that I yet to know them. When it comes to power, privilege, status and life style wanataka 50% by 50%, when it comes to financial responsibilities wanasisitiza mila za Kiafrica, eti ki utamaduni Ni majukumu ya mwanaume.