GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,548
- 108,879
Kila ukiangalia idadi ya Watu ‘ wanaomfolo ‘ ni Kubwa sana na kila Siku inazidi tu Kuongezeka lakini cha Kushangaza kama si Kusikitisha pia ni kwamba karibia 99% ya wale ‘ Wanaomfolo ‘ wanatumia Majina ‘ Feki ‘ huku mengine yakiwa ni ya ajabu ajabu tupu.
Kwanini hawa ‘ wanaomfolo ‘ huyo Mbabe wa Waziri Kangi Lugola huko ‘ Twitani ‘ wanajichifa kwa kutotaka Majina yao halisi yatumike? Kwani kuna dhambi yoyote ile ‘ Kumfolo ‘ huyu Mbabe aliyeshindikana? Je, na Sisi wengine ‘ tunaomfolo ‘ kwa Majina yetu halisi kama Mimi Karemera Rwigyema Mazimpaka ( GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ) na tunachangia mno huko tuko salama au hatarini?
Na kama labda kutakuwa na Hatari yoyote ya Kutumia Majina yetu halisi katika ' Kumfolo ' huyo Mbabe wa Waziri Kangi Lugola huko ' Twitani ' basi nawaombeni wana JamiiForums mnichagulie na Mimi jina la ' ajabu ajabu ' kama wanayotumia huko Watu wengine ili nami nianze Kulitumia badala ya hili Jina langu halisi nililopewa na Wazazi wangu la Karemera Rwigyema Mazimpaka kutoka huko Kwetu Ututsini ' nchini Rwanda kwa Wanyarwanda.