Kwanin wanaume wan'tembea sana...wanawake wan'sema sanaaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanin wanaume wan'tembea sana...wanawake wan'sema sanaaa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ndevu mbili, Dec 31, 2011.

 1. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habar zenu!
  Nawatakieni heri za mwaka mpya wa '' 2 or Twelve''

  Mwanangu wa kiume amekuja niuliza hili swali...nimeshindwa kumjibu...maana watoto wa hizi zama wanajua mitego sana.
  Nisaidieni nimjibu vipi?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wanaume wana miguu mirefu na wanawake wana midomo midogo!!
   
 3. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Wewe ndio mtoto mwenyewe nini? mbona hujui kuandika na kujielezea ukaeleweka..........jipange upya uje tena kuuliza.
  Halafu ukiwa kama baba lazima ujue jinsii ya kujibu maswali ya watoto, kwahiyo ulijibu subiri nikaulize JF.

  Heri ya mwaka mpya 2012!!!
   
 4. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nisaidie kwanza jinsi ya kumjibu kijana wangu!
  Siwezi mwambie nmekuja JF kutafuta jibu!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,419
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  huna mtoto una bahasha mpwa kazi unayo
   
 6. m

  mhondo JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kumbe midomo midogo ndiyo inaongea sana!.
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kumbe ulidhani?
  Kwani maneno hua yanajaza mdomo useme lazama uwe mkubwa kutoa maneno mengi?
   
 8. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Una maanisha unajua jibu eee?
  Nipe tafadhali...
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahahahahaaaa!!!!!
  Aseeee....
  Duh!!
   
 10. phina

  phina JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  jamani..boys have an extra leg and the girls have an extra pair of lips!ama??
   
 11. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Mimi sijui uelewa wa mtoto wako, wewe ndio unajua uwezo wake wa kufikiria maana unaweza pewa jibu lakini ukashindwa kulitetea kama ukiulizwa swali zaidi kuhusiana na jibu ulilotoa.
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  hata sijaelewa!
   
 13. J

  JULIUS MBIAJI Member

  #13
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inategemea na kabila.Kutembea sana ni kutafuta mahitaji na kuongea sana ni kukosa kaz.Ni suala la utamadun kwa taarifa yako Waisrael wote wanatembea sana na hawasemi sana.
   
 14. p

  pilu JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nenda kakodishe adabu ikusaidie! Lol!
   
 15. p

  pilu JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwambie huyokijana atakua amewaona waimba mipasho bilashaka na wakaka wakimachinga.
   
 16. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Heri ya mwaka mpya. ungemwambia wanaume hawana muda wa kukaa na kuongea ongea.
   
 17. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ndo maana yake!
   
 18. phina

  phina JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lets call a spade a spade-adabu imekosekana wapi hapo??hilo ndo jibu..anatomical one!tatizo ni jinsi ya kumwelewesha huyo mtoto..labda kama unalo lingine..
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mwambie achukue madaftari afanye homework aliyopewa na ticha.
   
 20. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nami niliwaza kumshaur hivyo hivyo!
  Mwanaume anayo miguu mitatu!
  Mwanamke anayo mashavu manne!
  Kama hujui namaanisha nini usiulize sana!
   
Loading...