Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 117
Kweli JF kuna majib ya kina!.Inategemea na kabila.Kutembea sana ni kutafuta mahitaji na kuongea sana ni kukosa kaz.Ni suala la utamadun kwa taarifa yako Waisrael wote wanatembea sana na hawasemi sana.