cha kumfanya unajua wewe mwenyewe .....ila kwa kukusaidia ni kuwa huyo anamtu anampa hayo mambo ya 6/6,kwahiyo amua kusuka au kunyoa........inauma ila ningepiga chini fasta .:scared:jamani,huyu demu kila mara tumekuwa tunakwazana kuhusu matumizi ya simu.
Kimsingi nimekuwa nakuta meseji za mapenzi kwenye simu yake maana kuna wakati huwa tunabadilishana simu!!!
kila nikimuuliza anadai kuwa wamezoea kuitana majina ya dear,darlind,honey,sweety,my love na mashost zake ila mie nikawa natulia ila inaniuma lkn nikawa sipendi kulazimisha kuwa tupige zile namba,nikajitahidi kumuonesha kuwa namuamini.
Sasa leo amekuja nyumbani,ila kwa sbb ya kukatika umeme nikamuomba simu niitumie,nikatoka kdogo,ndipo nilipoangalia inbox nikakuta meseji inayosema "asante sana kwa mpenzi,leo umenifurahisha,leo ni zaidi" ambapo ilikuwa ni jana 18/03/2012 na kweli jana nilimhitaji akanipa sbb za hovyo kuwa mama yake amemtuma.
Nimerudi ghafla na kumuuliza akasema eti hao huwa ni mashost zake,eti mbona hauniamini?ndipo nilipomuuliza,kwani wewe ni msagaji mpaka umridhishe mwanamke mwenzako? akaanza kulia na ameondoka,sasa nimfanyeje huyu mchumba wangu ambaye tumedumu kwa miezi 8 na tunajulikana nyumbani kote?
nisaidieni hapa!!!!
Haoni! Au ndio mapenzi upofu?Eti huwa wanasema kama kusoma huwezi hata picha .........
jamani,huyu demu kila mara tumekuwa tunakwazana kuhusu matumizi ya simu.
Kimsingi nimekuwa nakuta meseji za mapenzi kwenye simu yake maana kuna wakati huwa tunabadilishana simu!!!
kila nikimuuliza anadai kuwa wamezoea kuitana majina ya dear,darlind,honey,sweety,my love na mashost zake ila mie nikawa natulia ila inaniuma lkn nikawa sipendi kulazimisha kuwa tupige zile namba,nikajitahidi kumuonesha kuwa namuamini.
Sasa leo amekuja nyumbani,ila kwa sbb ya kukatika umeme nikamuomba simu niitumie,nikatoka kdogo,ndipo nilipoangalia inbox nikakuta meseji inayosema "asante sana kwa mpenzi,leo umenifurahisha,leo ni zaidi" ambapo ilikuwa ni jana 18/03/2012 na kweli jana nilimhitaji akanipa sbb za hovyo kuwa mama yake amemtuma.
Nimerudi ghafla na kumuuliza akasema eti hao huwa ni mashost zake,eti mbona hauniamini?ndipo nilipomuuliza,kwani wewe ni msagaji mpaka umridhishe mwanamke mwenzako? akaanza kulia na ameondoka,sasa nimfanyeje huyu mchumba wangu ambaye tumedumu kwa miezi 8 na tunajulikana nyumbani kote?
nisaidieni hapa!!!!
Du hiyo ni kali! Kwa hatua hiyo iliyofikia chukua no ya huyo 'shosti' wake ipige kwa simu nyingine ili ujue kama ni mdada au mkaka; hapo utatatua swala la sex preference yake kwanza kabla ya mengine!
unagongewa na demu?
Utakuwa umefulia mautundu lol
kuacha mshedede na kufuata fingazi??? 🙁