Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,233
Utafiti unaonesha asilimia 95 ya wanaume wanafanya mastutbation,. 89% wanawake wanafanya masturbation.Pia asilimia 70 ya wanandoa wanafanya Masturbation. Pia wanawake 4 kati ya 10 wanapendelea masturbation kuliko kufanya mapenzi na mwanaume. Kwanini hali iko hivyo?
Source: http://www.pleated-jeans.com/2011/04/18/infographic-masturbation-facts-and-statistics/
Source: http://www.pleated-jeans.com/2011/04/18/infographic-masturbation-facts-and-statistics/