Kati ya viungo ambavyo huwa najisifia uumbaji ni kubarikiwa kuwa na mkono wa mtoto(PUNDA AKASOME)Kiber100
Nani tena huyo jamani?Asiyenipenda🤪
Mrefuuu, slim fit👌Dogo lako😭
Hv we kumbe hamnazo?Hivi kwani kimo nacho kinaweza kuwa ulemavu? Kwanini wenye size ndogo almaarufu kibermeer wanasengenywa sana?View attachment 3656233
Kuna enye naskia eti chini wamejaaliwa sana