Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,997
- 3,933
1. Nilishangaa sana watu wakiichukulia poa timu ya Machief. Kinachoisumbua Simba kwa sasa ni ubora wa ligi ya South Africa. Ligi ya Tanzania bado ni changa na haina Qualities wala Woow factor.
2. Kwa forward gani Simba ifike nusu fainali, yule mla chewing gum? Mpira wa kupigiana pasi zisizo na tija wala manufaa eti Biriani; wachezaji warudi Home kupumzika
3. Mpira ni INVESTMENT, wachezaji wa machief wana miili na ligi yao inawapa ushindani mkubwa. Tukisema Simba ni Under dog mtuelewe.
4. Kwa kuwakumbusha Tu Kaiser ni ya 11 kwenye msimamo wa ligi, huku simba ikiongoza ligi ya TFF.