Kwani Simba SC mlitegemea Vipi?

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,988
2,000
1. Nilishangaa sana watu wakiichukulia poa timu ya Machief. Kinachoisumbua Simba kwa sasa ni ubora wa ligi ya South Africa. Ligi ya Tanzania bado ni changa na haina Qualities wala Woow factor.

2. Kwa forward gani Simba ifike nusu fainali, yule mla chewing gum? Mpira wa kupigiana pasi zisizo na tija wala manufaa eti Biriani; wachezaji warudi Home kupumzika

3. Mpira ni INVESTMENT, wachezaji wa machief wana miili na ligi yao inawapa ushindani mkubwa. Tukisema Simba ni Under dog mtuelewe.

4. Kwa kuwakumbusha Tu Kaiser ni ya 11 kwenye msimamo wa ligi, huku simba ikiongoza ligi ya TFF.
 

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,988
2,000
Niliwatabiria 3 - 0! Bahati nzuri Kaizer Chiefs ni waelewa! Wakaongeza na kimoja zaidi.

4G!!!

Wao walikuwa wanapiga piga pasi zisizo na tija. Walikuwa wanaotewa sehemu chache. Wakalale na ball positions yao huko.

Hawa ni underdog hawana tactical experience kwenye level hizo za ligi.

Hata Alhyl walijiuliza sana Simba iliongoza vipi ligi
 

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,988
2,000
Kila timu inategemea ushindi,Simba pia tulitegemea kushinda hii mechi.
Tumezidiwa mbinu tukafungwa

Mlisahau kuwa ligi ya Sauzi ni ligi ngumu sio kama ligi yetu iliyochanganyikana na siasa.Niliwaambia watu msiangalie Kaizer ipo nafasi gani , ukubwa wa timu hupimwa na INVESTMENT yake. Mchezaji wa chini pale analipwa mil 20 . Je kuna mchezaji wa Simba anaelipwa Mil 20 ?
 

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
10,948
2,000
Mlisahau kuwa ligi ya Sauzi ni ligi ngumu sio kama ligi yetu iliyochanganyikana na siasa.Niliwaambia watu msiangalie Kaizer ipo nafasi yake , ukubwa wa timu hupimwa Na INVESTMENT yake. Mchezaji wa chini pale analipwa mil 20 . Je kuna mchezaji wa Simba anaelipwa Mil 20 ?
Hapana mfano wako wa malipo kwa wachezaji hauwendani na hii mechi ya leo.
Al Ahaly wanalipwa pesa ndefu lakini kwa Mkapa walifungwa na Misri Simba alipigwa goli moja na ni timu bora kwa Africa Al Ahly.
Simba leo tumezidiwa mbinu,Kaizer ukiangalia mbinu zao ni kama nyepesi lakini ni mwiba kwa timu yangu ya Simba leo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom