Kwani Simba SC mlitegemea Vipi?

Ni Utopolo tu ndo wanaoamini mechi imeisha, labda niwakumbushe maajabu ya mwaka 2017.

In 2017 UCL Quarter finals
PSG 4-0 Barcelona (1st leg)
Barcelona 6-1 PSG ( 2nd leg)

Kwenye mpira lolote linawezekana.

Toa historia hii kwa mpira wa Africa tuone
 
Mjomba unaota. Ubora wa SIMBA upo wapi?

Tuliwaambia kuwa kuanzia Robo kwenda nusu ndio tunaanza ku judge quality ya Simba maana hizo level sio kupiga piga MAPASI yasiyo na matokeo, hizo level ni Tactical Experience na Quality ya wachezaji pamoja na Investment ya timu ndiyo kina matter

Ndio maana timu kama Ahly haikosi hizo nafasi kamwe.

Nyie ni MADOGO tu MAKINDA NYIE
Hivi unahisi kuna timu mbovu itafika robo michuano ya caf?
Ukiona timu imefika robo hiyo ni bora,kundi"A"la Simba hatua ya makundi ndo lilikuwa kundi la kifo lakini Simba alipita akiwa anaingoza kundi.

Vita 0-1 Simba mechi ya Congo.
Simba 3-1 As Vita kwa Mkapa.

Al Mareikh 0-0 Simba Sudan.
Simba 3-1 Al Mareikh kwa Mkapa.

Simba 1-0 Ala Ahly kwa Mkapa.
Ala Ahly 1-0 Simba kwa Mkapa.

msimamo mzima wa makundi yote ya hatua ya makundi Simba walikua nafasi ya pili mbele ya Esparance de tunis.
Kwa ushahidi huo bado unaamini Simba haiukua bora?,basi utakua haujui mchezo wa soka wewe!
 
Naujua mpira vyema. The point is Mmeshatoka.

Nasubiri kuangalia Fainali hapa kati ya Ahly na Mamelodi.

Nimepoteza bundles zangu kuangalia UnderDog. Yaani Simba is too good for nothing.
 
Tumetoka kishujaa kwa kuwapa Utopo viti maalum na nyinyi mpande ndege.
Simba nguvu moja.

Ha ha Heshima kwako, angalau wewe umekubali.

Kuna mdau hapo juu anasema Eti ni Utopolo tu ndiyo anaamini simba imetoka. Yaani Jamaa bado anajipa moyo wa kuendelea.

Ukweli ni kwamba game hizi watu hawafungani goli nne bhana. Ni goli moja au bila bila.

Simba haina Strength na Desire .... haina Strength ya ku mantain .... wao ni pasi tu siziso na tija. Naomba uangalie game
Muda huu ya Mamelodi na Ahly ... mmoja wapo hapo ndio anachukua kombe babake
 
Kama Simba wataisubiri Kaizer Chief na umbumbumbu wao wa kwa mkapa atoki mtu. Watapigwa sita pale kwa mkapa.
 
Mpira wa Simba ni Mpira wa Inshallah Inshallah.

Hauna Tija
 
Kama Simba iliefika robo ni Under dog Mazembe,As Vita ambao hawajafika robo ni Under dog?
Naujua mpira vyema. The point is Mmeshatoka.

Nasubiri kuangalia Fainali hapa kati ya Ahly na Mamelodi.

Nimepoteza bundles zangu kuangalia UnderDog. Yaani Simba is too good for nothing.
Hujui soka wewe.
Simba ni timu bora kama msimu uliopita tulitolewa hatua ya mtoano tukajipanga mwaka huu tukavuka mpaka robo,mwakani pia tutajipanga vema kufika mbali zaidi.
Simba ni bora kwa Africa kutolewa sio issue hata Mazembe,As Vita na bado kuna timu nzuri zaidi zitatolewa ndo mchezo wa soka ulivyo.
Hujui soka,nasisitiza mchezo wa mpira hujui.
 
Ha ha Heshima kwako, angalau wewe umekubali.

Kuna mdau hapo juu anasema Eti ni Utopolo tu ndiyo anaamini simba imetoka. Yaani Jamaa bado anajipa moyo wa kuendelea.

Ukweli ni kwamba game hizi watu hawafungani goli nne bhana. Ni goli moja au bila bila.

Simba haina Strength na Desire .... haina Strength ya ku mantain .... wao ni pasi tu siziso na tija. Naomba uangalie game
Muda huu ya Mamelodi na Ahly ... mmoja wapo hapo ndio anachukua kombe babake
Simba ina uwezo tena mzuri sana wa kiwango cha hao unaosema mmoja wapo atachukua ubingwa.
Ila kwenye soka kuna mbinu ukizidiwa mbinu unaweza pigwa hata goli tano,na ishatokea timu kubwa duniani hatua muhimu ya mtoano timu kupigwa nne mpaka tano.
Brazil kombe la Dunia unakumbuka walipigwa goli ngapi na German final?
 
Kama Simba iliefika robo ni Under dog Mazembe,As Vita ambao hawajafika robo ni Under dog?Hujui soka wewe.
Simba ni timu bora kama msimu uliopita tulitolewa hatua ya mtoano tukajipanga mwaka huu tukavuka mpaka robo,mwakani pia tutajipanga vema kufika mbali zaidi.
Simba ni bora kwa Africa kutolewa sio issue hata Mazembe,As Vita na bado kuna timu nzuri zaidi zitatolewa ndo mchezo wa soka ulivyo.
Hujui soka,nasisitiza mchezo wa mpira hujui.

Kwani mmeshatoka?
 
Bado tuna msubiri huyu mshenzi Kaizer kwa Mkapa,iwe jua ama mvua ,afe mtu au mnyama ni lazima tumpige nne tupelekane kwenye matuta.

Goli nne ni nyingi sana . Angalau mngekuwa Na Foward ya maana. Forward ni ile mla chewing gum na Kagera. Ni ngumu sana . Game ingekuwa poa kama mngefungwa 1 au 2 tu.

Nilipoona kile kikosi nilijua mmekwisha. Mmeenda kumuanzisha yule mlevi Mkude
 
Akuna cha Mkude wala nani,siku ya kufa nyani miti yote uteleza.
Simba leo kwanza wachezaji walijiamini sana alafu Kaizer awakuruhusu kabisa Simba atandaze soka lake la pasi nyingi mpaka golini na Kaizer wakipata mpira pasi tatu wapo golini.
Hakuna cha mkata umeme wala mkata solar leo ngoma ilikua ngumu kwa Simba.
 
Hesabu za kocha pia leo zime fail
 
Hesabu za kocha pia leo zime fail
Hesabu za kocha ni zilezile sema ukikuta kocha wa timu pinzani akijua kufunga mbinu zako hata ufanyaje utoboi madhee.
Ni kama Morinyo style yake ya kupaki basi akipata mpira pasi mbili yupo golini,baada ya makocha wenzie kumsoma mbinu zake waakamtepetesha kila timu akienda atoboi,sababu hana mbinu mpya.
 
Back
Top Bottom