Kwani Simba SC mlitegemea Vipi?

Hv Kaiza chief wamekumbuka kumpa kipigo na yule Albino.. Maana ni Jeuri sana..
Akina Shafii Dauda watatulia sasa hvi..
Shafii Endelea kuwapekekea moto hawa mikia huko Clouds.. Mikia ni UnderDog ukweli ndio huo..
Au nasema uongo ndugu zangu..?

Unasema kweli. Tunasema siku zote mpira sio hamasa wala makelele ya MANARA. Fanyeni Investment za maana mtaona matokeo
 
Poleni sana wana msimbazi kwa kupoteza, siku zote muamini kuwa mchezo ni dakika 90,zingine ni mbwembwe tu za maneno
 
Wanashuka, amini hivyo. Wewe angalia game leo kati ya Mamelodi Na Ahly ndio utajua ligi ya Sauzi Ina qualities. Sasa huyo Kaizer anatoaga Suluhu na Mamelodi.

Acheni Mchezo nyie Simba ni undergo kwenye ligi ya Sauzi
Kaizer kutoa draw na Mamelody ni sehemu ya matokeo ya mchezo haimaanishi Kaizer ama Mamelody ni wabovu.
Simba bado ni timu bora kufungwa ni sehemu ya mchezo
 
Hapana mfano wako wa malipo kwa wachezaji hauwendani na hii mechi ya leo.
Al Ahaly wanalipwa pesa ndefu lakini kwa Mkapa walifungwa na Misri Simba alipigwa goli moja na ni timu bora kwa Africa Al Ahly.
Simba leo tumezidiwa mbinu,Kaizer ukiangalia mbinu zao ni kama nyepesi lakini ni mwiba kwa timu yangu ya Simba leo.

Mliwafunga ngapi? Magoli ya bahati bahati na kubana pumbu sana nayo ni magoli.

Mshahara wa wachezaji unaeleza ubora wa mchezaji. Halafu kocha wenu nadhani alikuwa anasoma ligi ya Sauzi na kuangalia timu ipo nafasi ya ngapi. Akaamua kucheza mpira. Bora hata angeweka nguvu kwenye kulinda angepunguza idadi ya magoli.

Sidhani kama mtaweza kuja kushinda goli zaidi ya 2 hapo kwa mkapa.

Jibashirie mmeshatoka

Kwani wewe ulikuwa unategemea kufika nusu fainali? Manaa hata malengo ya timu ilikuwa ni kucheza robo fainali tu.

Mtafika fainali na Mkude na mla chewing gum yule .... acheni hizo nyie madogo tu
 
Ni Utopolo tu ndo wanaoamini mechi imeisha, labda niwakumbushe maajabu ya mwaka 2017.

In 2017 UCL Quarter finals
PSG 4-0 Barcelona (1st leg)
Barcelona 6-1 PSG ( 2nd leg)

Kwenye mpira lolote linawezekana.
 
Sasa kama unasema Simba tuliweka malengo ya Simba kufika robo na robo tumefika wewe unaona shida iko wapi?

Simba tuliwafunga ngapi Al Ahly haijalishi,Al Ahly wanalipwa pesa ndefu kuzidi Simba lakini tuliwapiga goli moja kwa Mkapa na wao wakatupiga moja Misri,mishahara ya wachezaji haichezi uwanjani.
Simba leo tumezidiwa kimchezo na tukafungwa,hatulaumu timu,kocha,uongozi wala refarii.
Simba nguvu moja.
 
Kaizer kutoa draw na Mamelody ni sehemu ya matokeo ya mchezo haimaanishi Kaizer ama Mamelody ni wabovu.
Simba bado ni timu bora kufungwa ni sehemu ya mchezo

Mjomba unaota. Ubora wa SIMBA upo wapi?

Tuliwaambia kuwa kuanzia Robo kwenda nusu ndio tunaanza ku judge quality ya Simba maana hizo level sio kupiga piga MAPASI yasiyo na matokeo, hizo level ni Tactical Experience na Quality ya wachezaji pamoja na Investment ya timu ndiyo kina matter

Ndio maana timu kama Ahly haikosi hizo nafasi kamwe.

Nyie ni MADOGO tu MAKINDA NYIE
 
Sasa kama unasema Simba tuliweka malengo ya Simba kufika robo na robo tumefika wewe unaona shida iko wapi?

Simba tuliwafunga ngapi Al Ahly haijalishi,Al Ahly wanalipwa pesa ndefu kuzidi Simba lakini tuliwapiga goli moja kwa Mkapa na wao wakatupiga moja Misri,mishahara ya wachezaji haichezi uwanjani.
Simba leo tumezidiwa kimchezo na tukafungwa,hatulaumu timu,kocha,uongozi wala refarii.
Simba nguvu moja.

Hakuna cha kuzidiwa. Hamna Quality na Strength za kucheza hizo level.

Kwani ni mara ya 1 kutolewa hizo level ?
 
Sasa Simba ni Barca? Mfano wako ni irrelevantly kwenye TOPIC . Hamna Investment ya kufanya hayo mageuzi... NEVER! MNATOKA , Safari yenu imefika mwisho.
Nilikua na Reply comment namba 26 alieshangaa Simba kupigwa goli nne wakati hata Barca wameshawai kupigwa nne na baba yao Messi akiwepo.
Simba nguvu moja.
 
Nilikua na Reply comment namba 26 alieshangaa Simba kupigwa goli nne wakati hata Barca wameshawai kupigwa nne na baba yao Messi akiwepo.
Simba nguvu moja.

Mmeshatoka Nyau FC LoL
 
Simba ya leo!😄😄😄
View attachment 1786303
20210515211437.jpg
 
Back
Top Bottom