The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Habari za mchana wana jf
Kwa uwelewa wangu na utafiti wangu Wa kinaa
Watanzania wengi ni wajuaji wanajua kila kituu yaani wanajua kila kitu ata kama hana hyo taaluma ila atakuambia anajuaa
Watanzania wengi ni mashabiki bendera fuata upepo hawajieewi kabisa.
Watanzania wengi wana majungu na fitinaa na wivu wa kijinga.
TUJIFUNZE KUKAA KIMYA ATA KAMA UNAJUA KAA KIMYA UTAJUA MENGI .
TUACHE UJUAJI