Chum Chang
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 999
- 272
Kabla ya kujibu mada kuna maswali lukuki ya kujibu,,lakini swali langu Ikiwa unaona kero au upendi kusachiwa suruali zako pindi zinapotaka kufuliwa kwa nini usifue mwenyewe kuondoa hiyo bughuza...
Mada mfuaji inamlazimu kuangua kile kinachofuliwa ili usafi uwe kamili
Mada mfuaji inamlazimu kuangua kile kinachofuliwa ili usafi uwe kamili