Kwani nil lazima kusachi suruali ya Mumeo!?

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,242
NI tabia iliyojengeka miongoni mwa wanawake wengi (siyo wote) kusachi suruali za waume zao zinapokuwa zimetundikwa au wakati wa kufua. Hivi sachi sachi hii mantiki yake ni nini hasa. Hivi kuna ulazima gani kusachi suruali ya mumeo hata kama wewe siyo mfuaji wake bali ni mfanyakazi wako wa kazi za ndani?
 
Kigarama we ni muhaya nini?? Turudi kwenye topic, naomba nikwambie hivi huwa hatupigi sachi kwenye suruali zenu kinachofanyika ni kuangalia labda kuna vitu umesahau kuvitoa mfano; pesa hasa za noti au hata vya hatari kama office pin, kwa wavuta sigara pia hii nimewahi kuiona kwenye suruali za babangu.
 
NI tabia iliyojengeka miongoni mwa wanawake wengi (siyo wote) kusachi suruali za waume zao zinapokuwa zimetundikwa au wakati wa kufua. Hivi sachi sachi hii mantiki yake ni nini hasa. Hivi kuna ulazima gani kusachi suruali ya mumeo hata kama wewe siyo mfuaji wake bali ni mfanyakazi wako wa kazi za ndani?
unaweza kukuta important document bwana ,si unajua wanaume hamna pochi mnahifadhi vitu mifukoni mwa suruali?
pia unaweza kubahatika na keep change,kuna wamama kibao wanacheza upatu na hela wanazookota kwenye mifuko ya waume zao
wanaokota hadi laki eti
 
Kwaupande wangu sioni tatizi hasa wakati wakufua,huo wakati mwengine hata haijawahi kunijua akilini ndio kwanza nashtuka sasa...
 
aaaaagh nilifikiri anmsachi wakati kaivaa kumbe keshaivua we search tu ukutane na mdudu ung'atwe........................!:rockon:
 
Hivi akifua bila kuangalia je kama kuna kiwembe kikimkata itakujae? je kama umeacha msimbazi akaufulia huko na hela zenyewe za bongo ukifulia ndoa kwishney....
 
NI tabia iliyojengeka miongoni mwa wanawake wengi (siyo wote) kusachi suruali za waume zao zinapokuwa zimetundikwa au wakati wa kufua. Hivi sachi sachi hii mantiki yake ni nini hasa. Hivi kuna ulazima gani kusachi suruali ya mumeo hata kama wewe siyo mfuaji wake bali ni mfanyakazi wako wa kazi za ndani?

Wakati wa kufua ni lazima, sidhani kama ina hitaji mjadala.

Ikiwa imetundikwa, hiyo inategemea. If you have lots to hide, inamfanya mwenzi wako kutafuta kile unacho hide; au la kama huprovide nyumbani pesa ya kutosha na unakunywa (mlevi) basi mama ana haki ya kutafuta change ya kununulia mkate wa chai wa watoto asubuhi.
Hakuna FUN yoyote katika kupekua, hivyo sidhani kama wamama wanapata pleasure yoyote in doing so; it is a matter of necessity tu.
 
Kwangu mamaJ lazima asachi mifuko ya suruali hata mashati na makoti kabla ya kumpa HG ili afue....Kwa nini wanaume tunaishi kwa hofu kwenye kila jambo, nashauri tujaribu kuwa weupe kufikia hata njano ili tuishi miaka mingi.
 
Dah! hata kusachi suruali nalo kosa? Wakati nasachi na labda hata kuula mkonge wa tembo??
Siri zingine inahitaji hekima ya juu sana kuzielewa.

Sasa hausigelo ndio asachi wakati wa kufua?
 
Kuna mdada mmoja anamsachi mumewe kama nini

Kisa ni kuwa hampi hata senti tano ya matumizi binafsi, na kuna siku alimwibia laki moja afu alivyorudi akasema nimekuibia laki. Mumewe akafoka lakini hajajirekebisha kumpa.

Hakuna raha yeyote kusachi suruali ya mtu

Wakati wa kufua ni lazima, sidhani kama ina hitaji mjadala.

Ikiwa imetundikwa, hiyo inategemea. If you have lots to hide, inamfanya mwenzi wako kutafuta kile unacho hide; au la kama huprovide nyumbani pesa ya kutosha na unakunywa (mlevi) basi mama ana haki ya kutafuta change ya kununulia mkate wa chai wa watoto asubuhi.
Hakuna FUN yoyote katika kupekua, hivyo sidhani kama wamama wanapata pleasure yoyote in doing so; it is a matter of necessity tu.
 
Kama ni mke wangu namhimiza anisachi wakati nimevaa, afu naitobia mfuko na ndani sivai kitu
Anaibuka na vodacom Mahela

aaaaagh nilifikiri anmsachi wakati kaivaa kumbe keshaivua we search tu ukutane na mdudu ung'atwe........................!:rockon:
 
NI tabia iliyojengeka miongoni mwa wanawake wengi (siyo wote) kusachi suruali za waume zao zinapokuwa zimetundikwa au wakati wa kufua. Hivi sachi sachi hii mantiki yake ni nini hasa. Hivi kuna ulazima gani kusachi suruali ya mumeo hata kama wewe siyo mfuaji wake bali ni mfanyakazi wako wa kazi za ndani?

Mhhhhhhh naomba nikuulize!

umewahi sachi nguo zako mwenyewe ukitaka kufua?
kama jibu ni ndio ...kwanini ulisachi?
Hiyo sababu iliyokupelekea kusachi hizo nguo zako ndio hiyohiyo sababu ya mkeo kusachi nguo zako
 
NI tabia iliyojengeka miongoni mwa wanawake wengi (siyo wote) kusachi suruali za waume zao zinapokuwa zimetundikwa au wakati wa kufua. Hivi sachi sachi hii mantiki yake ni nini hasa. Hivi kuna ulazima gani kusachi suruali ya mumeo hata kama wewe siyo mfuaji wake bali ni mfanyakazi wako wa kazi za ndani?
labda wewe ndio utuambie unavyofikiria, unadhani tunavyosachi, tunasachi nini hasa?
 
Kama ni mke wangu namhimiza anisachi wakati nimevaa, afu naitobia mfuko na ndani sivai kitu
Anaibuka na vodacom Mahela

Nilishafanyiwa hivyo na binamu wangu, zamani wakati niko std 1 yeye akiwa std 7. Aliniambia niingize mkono kwenye suruali yake nimtolee kitu. Nikakutana na mshedede!
 
kama hutaki kusachiwa usiwe unaacha hela au condom mfukoni akisachi mara tatu mara nne asipovikuta ataacha kukusachi

lakini kwenye kufua lazima aangalia mifuko hilo halikwepeki si kwa suruali tu hata kwenye shati na boxer zenye mifuko huwa mnaficha ficha vitu vitu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom