Hiyo si lazima ila inatokana maelewano ya wawili,japokuwa mkikubaliana kufanya hivyo ni vizuri zaidi.Ukumbuke kuwa hali hiyo imesababishwa na baadhi ya wanandoa kutojali mahitaji ya familia na kuweka mbele masuala yao binafsi na ndio maana wenzi wao wakaamua kujua kila kitu katika financial situation za wenzao,na kwa wengine wanataka kufanya hivyo sababu ya kuwa na roho mbaya tu yaani kila alichonacho mwenzi wake basi akicontrol yeye na asiweze kutoa msaada wowote kwa yeyote yule.[/B]
hicho ndo kinacho ogopesha zaidi....
jamini naombeni mnisaidie hapa
ukifikia kwenye ile hatua yakuwa na mtu katika maisha yako yote(kuolewa/kuoa)
je ni lazima kuchangia vitu kama bank accounts, Pin number na password ya kila kitu ulicho nacho??..
Mie nadhani zaidi inategemeana jinsi mnavyoishi na kuchukua majukumu.
Kama hamna discipline na hela zenu ni bora kila mmoja akawa na acc yake
maana unaweza kukuta mwingine mlevi na mwingishe shopping inalijua jiji
jamini naombeni mnisaidie hapa
ukifikia kwenye ile hatua yakuwa na mtu katika maisha yako yote(kuolewa/kuoa)
je ni lazima kuchangia vitu kama bank accounts, Pin number na password ya kila kitu ulicho nacho??..
hapa inategemea sana na nyinyi wawili kuna watu ambao hawatimizi wajibu wao inapelekea kwenye hili lakini sidhani kama ni lazima sana kama kila mtu anaujua wajibu wake na kuutekeleza angalizo unatakiwa kuelewa sio kila kitu cha kushare ndani ya ndoa ukitaka kuwa na amani mambo mengine yatabakia kuwa ya kwako tu
tatizo lina kuja hapo ambapo hamkubaliani kabisa yakija kwenye mambo kama hayo....