afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
- Thread starter
- #41
......Kuhusu simu, email mie sioni umuhimu sana maana hivyo ni vitu binafsi. Anaweza kuwa na zaidi ya email moja je utajua zote?
Hata kuhusu account za bank kila mtu anaweza kuwa na account ya kwake lakini mnapeana pin number huwezi jua kesho itakuwaje ili hata mmojawapo akipata shida basi mwenzako aweze kuchukua pesa hata kwenye ATM kwa kutumia debit/credit card.
Vile vile mnaweza kuwa na joint account ambayo inakuwa saving account tu.
asante sana kwa maoni yako....
ni vizuri kisikia maoni tofauti kuhusu hili..
ni pale tu mtu anaposema if u want to move forward we have to share and show each other every thing.....