Kwani ni lazima???

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207
jamini naombeni mnisaidie hapa
ukifikia kwenye ile hatua yakuwa na mtu katika maisha yako yote(kuolewa/kuoa)
je ni lazima kuchangia vitu kama bank accounts, Pin number na password ya kila kitu ulicho nacho??..
 
Hiyo si lazima ila inatokana maelewano ya wawili,japokuwa mkikubaliana kufanya hivyo ni vizuri zaidi.Ukumbuke kuwa hali hiyo imesababishwa na baadhi ya wanandoa kutojali mahitaji ya familia na kuweka mbele masuala yao binafsi na ndio maana wenzi wao wakaamua kujua kila kitu katika financial situation za wenzao,na kwa wengine wanataka kufanya hivyo sababu ya kuwa na roho mbaya tu yaani kila alichonacho mwenzi wake basi akicontrol yeye na asiweze kutoa msaada wowote kwa yeyote yule.
 
Ndoa yenu ni kufa na kuzikana au ni ile ya changu changu na chako chako? Ila kama ni ndoa ya kufa na kuzikana ni vizuri ku-share vyote.
 
Makubaliano yenu ndo yanaumuhimu hapo lakini ni vyema kushare ili kusiwe na siri baina yenu
 
Hiyo si lazima ila inatokana maelewano ya wawili,japokuwa mkikubaliana kufanya hivyo ni vizuri zaidi.Ukumbuke kuwa hali hiyo imesababishwa na baadhi ya wanandoa kutojali mahitaji ya familia na kuweka mbele masuala yao binafsi na ndio maana wenzi wao wakaamua kujua kila kitu katika financial situation za wenzao,na kwa wengine wanataka kufanya hivyo sababu ya kuwa na roho mbaya tu yaani kila alichonacho mwenzi wake basi akicontrol yeye na asiweze kutoa msaada wowote kwa yeyote yule.[/B]

hicho ndo kinacho ogopesha zaidi....
 
jamini naombeni mnisaidie hapa
ukifikia kwenye ile hatua yakuwa na mtu katika maisha yako yote(kuolewa/kuoa)
je ni lazima kuchangia vitu kama bank accounts, Pin number na password ya kila kitu ulicho nacho??..

Mie nadhani zaidi inategemeana jinsi mnavyoishi na kuchukua majukumu.
Kama hamna discipline na hela zenu ni bora kila mmoja akawa na acc yake
maana unaweza kukuta mwingine mlevi na mwingishe shopping inalijua jiji
 
Tabia nisizo zipenda ni kuona mke au mume kuto jali privancy ya mwenzie. Mambo ya account sawa lakini simu noo.
 
kwa hiyo kwa maoni yako ni borea kuwa individually???
na kwa pin number namaanisha pin number zote
kuanzia za cellphone, credit card na mambo ya computer za kazini.....
 
Tabia nisizo zipenda ni kuona mke au mume kuto jali privancy ya mwenzie. Mambo ya account sawa lakini simu noo.

hapo nakuelewa kabisa yaani....
na kwa kiasi fulani nakubaliana na weye....
 
jamini naombeni mnisaidie hapa
ukifikia kwenye ile hatua yakuwa na mtu katika maisha yako yote(kuolewa/kuoa)
je ni lazima kuchangia vitu kama bank accounts, Pin number na password ya kila kitu ulicho nacho??..

Ukijaribu tu umekwisha.
 
naamini suala kubwa ni makubaliano tu bt it's not mandatory. Lakini kushare pin ni bora zaidi ili pawepo na transparency na hivyo kuondoa migogoro isiyo ya lazima.
 
hapa inategemea sana na nyinyi wawili kuna watu ambao hawatimizi wajibu wao inapelekea kwenye hili lakini sidhani kama ni lazima sana kama kila mtu anaujua wajibu wake na kuutekeleza angalizo unatakiwa kuelewa sio kila kitu cha kushare ndani ya ndoa ukitaka kuwa na amani mambo mengine yatabakia kuwa ya kwako tu
 
asante sana muheshimiwa.....
kwani hapo nimekuelewa kabisa
 
Back
Top Bottom