Kwani ni lazima wawe Wabunge?

Kwani ni lazima wawe Wabunge?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,097
Reaction score
43,309
Wapi waliosoma
Wana shahada mbalimbali
Wana uzoefu wa miaka
Wana connections
Wengi wamekuwa Wabunge miaka nenda Rudi...(wamezeekea bungeni)
Sasa wamekatwa wanahaha...wameonewa..wanashangaa..wanahoji kwanini wao?
Wengine wanaenda kufyekwa na waheshimiwa wapiga Kura...
Wengine wananyenyekea wakumbukwe kwenye uteuzi..

Hivi hawana akili za kuishi nje ya Bunge na serikali? Walipohimiza wengine wajiajiri, wafanye ujasiriamali na kulima..walidhani ni kwa wengine tu? Kama Wana shahada za fani fulani so wakawe mifanooo...

Wengine eti wanahama vyama kwa vile hawakupitishwa...halafu ifike 2024 tuambiwe wamenunuliwa wanaporudi walikotoka...laiti upinzani ungekuwa na wagombea wake...!!!

Kwani ni Lazima wawe Wabunge?
 
Angalieni MPUUZI mwingine huyu aliyejitoa ufahamu. Kwani yesu wa lugola ni lazima agombee tena lazima awe Rais mbona ANAWEWESEKA sana? 😳😳😳

Umeniwahi!

Hata mimi nilikuwa nawaza hivyo hivyo!
 
Shida ya nini-weka mgombea binafsi wananchi waamue. Ni vizuri yawakute labda wengine wata amka. Kutegemea mgongo wa CCM kuna gharama zake, wenye chama wameamua au mwenye chama kaamua. Marehemu Mkapa alisikkika akisema "Ninyi pigeni kelele, lakini mkumbuke siku ikifika mimi ndiye mwenye kiti wenu".
 
Huyu aliyechoka na anayeuona Urais ni MATESO MAKUBWA lini utamuuliza kwani ni lazima uwe Rais? Si urudi kwenu ukachunge kuku!? 😳😳

Wapi waliosoma
Wana shahada mbalimbali
Wana uzoefu wa miaka
Wana connections
Wengi wamekuwa Wabunge miaka nenda Rudi...(wamezeekea bungeni)
Sasa wamekatwa wanahaha...wameonewa..wanashangaa..wanahoji kwanini wao?
Wengine wanaenda kufyekwa na waheshimiwa wapiga Kura...
Wengine wananyenyekea wakumbukwe kwenye uteuzi..

Hivi hawana akili za kuishi nje ya Bunge na serikali? Walipohimiza wengine wajiajiri, wafanye ujasiriamali na kulima..walidhani ni kwa wengine tu? Kama Wana shahada za fani fulani so wakawe mifanooo...

Wengine eti wanahama vyama kwa vile hawakupitishwa...halafu ifike 2024 tuambiwe wamenunuliwa wanaporudi walikotoka...laiti upinzani ungekuwa na wagombea wake...!!!

Kwani ni Lazima wawe Wabunge?
 
Binadamu wanashangaza mno na hawaridhiki kabisa,

Mtu unakuwa AG bado tena unataka tuuu,

Jamani jamani.
 
Vijana wasomi ndiyo wamekuwa wahanga kila siku Ni kusemwa vijana hawawazi nje ya box wanafikiria ajira tu.​
Huu ndo wakati wa vijana kupaza sauti kuwakemea hawa wachumia tumbo kumbe nao hawana akili za kujiajiri pamoja na mitaji waliyovuna.​
Waliokatwa wameambiwa wajipendekeze ili wapate teuzi, wengine wameona wanachelewa bora wahame vyama.​
 
Huyu aliyechoka na anayeuona Urais ni MATESO MAKUBWA lini utamuuliza kwani ni lazima uwe Rais? Si urudi kwenu ukachunge kuku!? 😳😳

Hilo mbona nilishauliza....search...sijaegesha akili mwenyewe nikaondoka...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom