BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Akili zako lumumba walishaenda nazo ndiyo maana unaandika pumba tupu. Umaarufu mkubwa uliokuwa nao humu wa kusimamia HAKI, UHURU na DEMOKRASI ya kweli umepotea sasa umebaki kuunga mkono mapambio.
Hilo mbona nilishauliza....search...sijaegesha akili mwenyewe nikaondoka...