Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,792
- 43,401
Mkuu,thatha humepataje hajiria?
Mimi Sina ajira nimejiajir naendesha bodaboda a k.a afisa usafirishaji
Mkuu,thatha humepataje hajiria?
Yule aliyesema hata watanzania wakila nyasi lazima ndege ya rais inunuliwe? Mramba aliyekutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na rushwa? Serikali ya Mkapa iliyouza nyumba za serikali kwa bei ya karanga huku zingine wakipeana bure? Serikali ambayo mkuu wake ana kashfa ya kujiuziq mgodi wa makaa ya mawe? Serikali iliyouza NBC pamoja na assets zake zote kwa 15b? KAMA HUNA CHA KUSIFIA bora ufungue uzi umsifie Gentamycine jinsi anavyochangamsha hapa JF.Tangu nchi hii ipate uhuru sijawahi kuona waziri bora wa fedha kama Bazil Pesambili Mramba.
Kama ni timu ya mpira,serikali ya Mkapa ilikuwa Barcelona ya akina Iniesta,Mesi n.k
Eti anampenda mwigulu,
sawa ofsa,Mkuu,
Mimi Sina ajira nimejiajir naendesha bodaboda a k.a afisa usafirishaji
Sawa mkuu Tupo pamoja..sawa ofsa,
kuwa makini na muangalifu bana barabarani tunahitaji kuexchange ideas sana humu JF na wewe
Ni kweli Mwigulu ana haiba ya urais. Kuhusu wema wake nakiri ni mwema kwa kuweza kuwasomesha watoto wengi hadi vyuo vikuu. Kwa hilo Mungu azidi kumwongezea. Pamoja na yote ni kwamba hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa kuamua kujiegemeza sana kwenye dhehebu lake la KKKT. A-control mahaba yake kwa sababu hilo kanisa liko tofauti na mitazamo ya wapiga kura wengi. Mwigulu kushiriki kumnunulia Askofu Shoo gari la mamilioni ni doa na tayari wapiga kura wengi wameshajiambia "huyu sio mwenzetu hafai". Hilo kanisa limeegemea kwa matajiri tu halafu limejipa sura kama tawi la CHADEMA.Ushauri mzuri umesoma na kuelewa ila hatuhitaji kusifia watu wanapokua wamekufa
hyo 15b yenyewe walivmwa maafsa wa serikali kwenda kuwabembeleza absa, ndo absa wakakubali kwa masharti kuwa watalipa kwa tsh na sio usd kama ambavyo makubaliano yalikuwa, absa kuingia ofsini akarudisha hela yake yote kwa kuuza baadhi ya assets na kukusanya madeniYule aliyesema hata watanzania wakila nyasi lazima ndege ya rais inunuliwe? Mramba aliyekutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na rushwa? Serikali ya Mkapa iliyouza nyumba za serikali kwa bei ya karanga huku zingine wakipeana bure? Serikali ambayo mkuu wake ana kashfa ya kujiuziq mgodi wa makaa ya mawe? Serikali iliyouza NBC pamoja na assets zake zote kwa 15b? KAMA HUNA CHA KUSIFIA bora ufungue uzi umsifie Gentamycine jinsi anavyochangamsha hapa JF.
STUPID POST, ALISEMA MAMA WA TAIFA
yale ni maono, maoni na mtazamo wake dhidi ya mtu yule, na ulichoandika wew ni maono, maoni na mtazamo wako dhidi ya mtu yule.Yule aliyesema hata watanzania wakila nyasi lazima ndege ya rais inunuliwe? Mramba aliyekutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na rushwa? Serikali ya Mkapa iliyouza nyumba za serikali kwa bei ya karanga huku zingine wakipeana bure? Serikali ambayo mkuu wake ana kashfa ya kujiuziq mgodi wa makaa ya mawe? Serikali iliyouza NBC pamoja na assets zake zote kwa 15b? KAMA HUNA CHA KUSIFIA bora ufungue uzi umsifie Gentamycine jinsi anavyochangamsha hapa JF.
unaweza Kuta huyu mleta Uzi ni baba wa familia aibu sana.
kwa hyo unataka kusemaje, tuikumbtie rc ambayo makadinali na mapadre wanalawiti watoto wadogo?Ni kweli Mwigulu ana haiba ya urais. Kuhusu wema wake nakiri ni mwema kwa kuweza kuwasomesha watoto wengi hadi vyuo vikuu. Kwa hilo Mungu azidi kumwongezea. Pamoja na yote ni kwamba hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa kuamua kujiegemeza sana kwenye dhehebu lake la KKKT. A-control mahaba yake kwa sababu hilo kanisa liko tofauti na mitazamo ya wapiga kura wengi. Mwigulu kushiriki kumnunulia Askofu Shoo gari la mamilioni ni doa na tayari wapiga kura wengi wameshajiambia "huyu sio mwenzetu hafai". Hilo kanisa limeegemea kwa matajiri tu halafu limejipa sura kama tawi la CHADEMA.
Mm mwanaume nimeoa mkuu hongera sana kwa kuolewa na Mwigulu na ndoa yenu idumu mpaka kifo kiwatenganishe.Msomi na elimu yake na naweza hata kukuoa
hii ni kuchochea fujo au mafarakano?kwa hyo unataka kusemaje, tuikumbtie rc ambayo makadinali na mapadre wanalawiti watoto wadogo?
Mada inamhusu Mwigulu.kwa hyo unataka kusemaje, tuikumbtie rc ambayo makadinali na mapadre wanalawiti watoto wadogo?
Yule aliyesema hata watanzania wakila nyasi lazima ndege ya rais inunuliwe? Mramba aliyekutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na rushwa? Serikali ya Mkapa iliyouza nyumba za serikali kwa bei ya karanga huku zingine wakipeana bure? Serikali ambayo mkuu wake ana kashfa ya kujiuziq mgodi wa makaa ya mawe? Serikali iliyouza NBC pamoja na assets zake zote kwa 15b? KAMA HUNA CHA KUSIFIA bora ufungue uzi umsifie Gentamycine jinsi anavyochangamsha hapa JF.
kasema kkt inaegemea kwa matajiri, sasa yupi afadhali hapo, ambaye anaegemea kwa matajiri au ambaye makadinal na mapadre wake wanalawiti watoto wadogo?hii ni kuchochea fujo au mafarakano?
Ni kweli Mwigulu ana haiba ya urais. Kuhusu wema wake nakiri ni mwema kwa kuweza kuwasomesha watoto wengi hadi vyuo vikuu. Kwa hilo Mungu azidi kumwongezea. Pamoja na yote ni kwamba hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa kuamua kujiegemeza sana kwenye dhehebu lake la KKKT. A-control mahaba yake kwa sababu hilo kanisa liko tofauti na mitazamo ya wapiga kura wengi. Mwigulu kushiriki kumnunulia Askofu Shoo gari la mamilioni ni doa na tayari wapiga kura wengi wameshajiambia "huyu sio mwenzetu hafai". Hilo kanisa limeegemea kwa matajiri tu halafu limejipa sura kama tawi la CHADEMA.
Mm mwanaume nimeoa mkuu hongera sana kwa kuolewa na Mwigulu na ndoa yenu idumu mpaka kifo kiwatenganishe.