Kwani Mwigulu Nchemba ni nani bwana wewe?

Unamfahamu Madelu Lameck Mwigulu Nchemba ? nimeguswa na kuamua kuandika makala haya kuhusu mbunge wa Iramba Singida Waziri wa fedha na baba wa familia ya watu wengi sana wanaomzunguka : Nitamuelezea Mwigulu kwa namna ninavyomfahamu kwa mambo yafuatayo :

Moja Mwigulu Nchemba ni mtu mwenye huruma na upendo haya yote yanaonekana katika maisha yake , anaidadi ambayo haina mwisho ya kusaidia watu Mwigulu hakusaidii mtu ili uende bali husaidia watu ili wafike anakusaidia huku ukiishi kwenye maisha yake yaleyale sio kubagua , atakusaidia na kukufanya ndugu hakuachi uende ! Mwigulu ni mwalimu , mlezi , mganga kwa wagonjwa faraja kwa wazee na wajane yatima ndio usiseme huyu ni kimbilio la wengi sana .

Mwigulu ninayemfahamu mimi nimtu wa kujituma kwaajili ya taifa lake halali , yupo tayari kubeba lawama ili mradi jambo muhimu la Kitaifa liweze kufanikiwa , nimsomi mwenye udaktari wa Uchumi elimu yake ya kweli kwani kaivusha Nchi katika wakati ambao Dunia inapita katika janga kubwa la anguko la uchumi .

Zaidi Mwigulu ni mtu mwenye moyo wa uvumilivu sana hasa anaposhambuliwa humkuti akijibu mitandaoni majibu yake daima atajibia bungeni haijalishi umemuandama namna gani yeye atakujibu kwa kutumia kanuni na jambo lenyewe lilivyo .

Mwigulu ni mtu wa maamuzi , sifa kubwa inayompasa kila kiongozi kuwa nayo sio mtu wa kuyumba yumba ana msimamo na jambo ambalo ni muhimu kwa wakati huo kwa taifa lake lakini zaidi ni mtu anayeshaurika , kusikiliza watu nadhani ni waziri wa kwanza Tanzania kuwa na uthubutu wa kusikiliza maoni dukuduku , changamoto za watu mbele ya hadhara huku kila mtu akinena anavyotaka .

Wengi tulishuhudia hili anapomaliza kusikiliza watu wanamkimbilia na kumshangilia hata ungekua wewe ungefurahi kuwa na kiongozi wa namna hii ya Mwigulu Nchema .

Kubwa zaidi ninalompendea Mwigulu Nchemba hana kinyongo na mtu kwa wizara anayoongoza angeitumia kama fimbo kwa wabaya wake lakini yeye huwatumikia wote kwa usawa kwani anajua akiwa kama waziri wa fedha hana mpinzani tofauti na baadhi ya mawaziri wanaotumia ofisi zao vibaya .

Kubwa na muhimu kwa Nchi Mwigulu ni Mzalendo sana kwa nchi yake mtiifu sana kwa watu wote anaowaongoza na mtiifu sana kwa Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania .
Kwa sasa Ndiye Waziri ambaye mataifa mengi ya Afrika yanatamani angekuwa ndiye waziri wao Mungu ametupa huyu mtu tumtumie .

Rubbish
 
Yanaanzaga hv hv 👀👀utuletee na harakati zake za kujifunza ujamaa china kabla hajapigwa pini na jabali Abdoulrahman kinana
 
baada ya kujipendekeza sana baaea ya kupigwa chni, wanasema alikuwa anaomba akipata chance ya kuongea na magu wakati kapigwa chn, alikuwa anampigia hadi magoti akimuomba amsamehe.
Anaakili sana hiyo ndio namna pekee ya kuishi na viongozi wa africa sasa kupiga kwake magoti kumempa neema..
 
Ni mtendaji mzuri na mwenye huruma ,ana mazuri mengi kuliko mabaya..nakumbuka kipindi fulani aliwasumbua sana wapinzani ila ni asili ya siasa,

kubwa nalo mkubali kuliko yote ni hilo la kutoa misaada, anasaidia sana vituo vya watoto yatima,na ndiyo maana Mungu humlinda,kuna andiko linasema anaemuhurumia masikini bwana atamkumbuka na uso wake utakua nae siku zote
 
Mtu alipata ajali ya kugonga punda badala amshukuru Mungu wake eti anamshukuru JPM huo si utahira
 
Unamfahamu Madelu Lameck Mwigulu Nchemba ? nimeguswa na kuamua kuandika makala haya kuhusu mbunge wa Iramba Singida Waziri wa fedha na baba wa familia ya watu wengi sana wanaomzunguka : Nitamuelezea Mwigulu kwa namna ninavyomfahamu kwa mambo yafuatayo :

Moja Mwigulu Nchemba ni mtu mwenye huruma na upendo haya yote yanaonekana katika maisha yake , anaidadi ambayo haina mwisho ya kusaidia watu Mwigulu hakusaidii mtu ili uende bali husaidia watu ili wafike anakusaidia huku ukiishi kwenye maisha yake yaleyale sio kubagua , atakusaidia na kukufanya ndugu hakuachi uende ! Mwigulu ni mwalimu , mlezi , mganga kwa wagonjwa faraja kwa wazee na wajane yatima ndio usiseme huyu ni kimbilio la wengi sana .

Mwigulu ninayemfahamu mimi nimtu wa kujituma kwaajili ya taifa lake halali , yupo tayari kubeba lawama ili mradi jambo muhimu la Kitaifa liweze kufanikiwa , nimsomi mwenye udaktari wa Uchumi elimu yake ya kweli kwani kaivusha Nchi katika wakati ambao Dunia inapita katika janga kubwa la anguko la uchumi .

Zaidi Mwigulu ni mtu mwenye moyo wa uvumilivu sana hasa anaposhambuliwa humkuti akijibu mitandaoni majibu yake daima atajibia bungeni haijalishi umemuandama namna gani yeye atakujibu kwa kutumia kanuni na jambo lenyewe lilivyo .

Mwigulu ni mtu wa maamuzi , sifa kubwa inayompasa kila kiongozi kuwa nayo sio mtu wa kuyumba yumba ana msimamo na jambo ambalo ni muhimu kwa wakati huo kwa taifa lake lakini zaidi ni mtu anayeshaurika , kusikiliza watu nadhani ni waziri wa kwanza Tanzania kuwa na uthubutu wa kusikiliza maoni dukuduku , changamoto za watu mbele ya hadhara huku kila mtu akinena anavyotaka .

Wengi tulishuhudia hili anapomaliza kusikiliza watu wanamkimbilia na kumshangilia hata ungekua wewe ungefurahi kuwa na kiongozi wa namna hii ya Mwigulu Nchema .

Kubwa zaidi ninalompendea Mwigulu Nchemba hana kinyongo na mtu kwa wizara anayoongoza angeitumia kama fimbo kwa wabaya wake lakini yeye huwatumikia wote kwa usawa kwani anajua akiwa kama waziri wa fedha hana mpinzani tofauti na baadhi ya mawaziri wanaotumia ofisi zao vibaya .

Kubwa na muhimu kwa Nchi Mwigulu ni Mzalendo sana kwa nchi yake mtiifu sana kwa watu wote anaowaongoza na mtiifu sana kwa Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania .
Kwa sasa Ndiye Waziri ambaye mataifa mengi ya Afrika yanatamani angekuwa ndiye waziri wao Mungu ametupa huyu mtu tumtumie .
Umesahau sifa moja kuu, ni mwizi wa kutisha
 
Hapana amesema KWELI. Mwigulu ni mtu mzuri sana wanaomchukia ni sababu za kisiasa ( kuwa kwake ccm ) na wivu tu wa cheo chake.

Jamaa ni mtu na nusu.

Wema hujuana
 
Ni mtendaji mzuri na mwenye huruma ,ana mazuri mengi kuliko mabaya..nakumbuka kipindi fulani aliwasumbua sana wapinzani ila ni asili ya siasa,

kubwa nalo mkubali kuliko yote ni hilo la kutoa misaada, anasaidia sana vituo vya watoto yatima,na ndiyo maana Mungu humlinda,kuna andiko linasema anaemuhurumia masikini bwana atamkumbuka na uso wake utakua nae siku zote

Hakika na wengi hawapendi kuona mtu anasifiwa pale anapofanya vizuri
 
Hapana amesema KWELI. Mwigulu ni mtu mzuri sana wanaomchukia ni sababu za kisiasa ( kuwa kwake ccm ) na wivu tu wa cheo chake.

Jamaa ni mtu na nusu.
@Mama Naa kwenye huu mshahara na wewe ni mnufaika kama mleta mada anavyojaribu kutuaminisha[emoji849][emoji116]

Shida yako unaumia vile ukiona Mwigulu kasifiwa mleteni kipara ngoto hapa muone ana maajabu gani
 
Unamfahamu Madelu Lameck Mwigulu Nchemba ? nimeguswa na kuamua kuandika makala haya kuhusu mbunge wa Iramba Singida Waziri wa fedha na baba wa familia ya watu wengi sana wanaomzunguka : Nitamuelezea Mwigulu kwa namna ninavyomfahamu kwa mambo yafuatayo :

Moja Mwigulu Nchemba ni mtu mwenye huruma na upendo haya yote yanaonekana katika maisha yake , anaidadi ambayo haina mwisho ya kusaidia watu Mwigulu hakusaidii mtu ili uende bali husaidia watu ili wafike anakusaidia huku ukiishi kwenye maisha yake yaleyale sio kubagua , atakusaidia na kukufanya ndugu hakuachi uende ! Mwigulu ni mwalimu , mlezi , mganga kwa wagonjwa faraja kwa wazee na wajane yatima ndio usiseme huyu ni kimbilio la wengi sana .

Mwigulu ninayemfahamu mimi nimtu wa kujituma kwaajili ya taifa lake halali , yupo tayari kubeba lawama ili mradi jambo muhimu la Kitaifa liweze kufanikiwa , nimsomi mwenye udaktari wa Uchumi elimu yake ya kweli kwani kaivusha Nchi katika wakati ambao Dunia inapita katika janga kubwa la anguko la uchumi .

Zaidi Mwigulu ni mtu mwenye moyo wa uvumilivu sana hasa anaposhambuliwa humkuti akijibu mitandaoni majibu yake daima atajibia bungeni haijalishi umemuandama namna gani yeye atakujibu kwa kutumia kanuni na jambo lenyewe lilivyo .

Mwigulu ni mtu wa maamuzi , sifa kubwa inayompasa kila kiongozi kuwa nayo sio mtu wa kuyumba yumba ana msimamo na jambo ambalo ni muhimu kwa wakati huo kwa taifa lake lakini zaidi ni mtu anayeshaurika , kusikiliza watu nadhani ni waziri wa kwanza Tanzania kuwa na uthubutu wa kusikiliza maoni dukuduku , changamoto za watu mbele ya hadhara huku kila mtu akinena anavyotaka .

Wengi tulishuhudia hili anapomaliza kusikiliza watu wanamkimbilia na kumshangilia hata ungekua wewe ungefurahi kuwa na kiongozi wa namna hii ya Mwigulu Nchema .

Kubwa zaidi ninalompendea Mwigulu Nchemba hana kinyongo na mtu kwa wizara anayoongoza angeitumia kama fimbo kwa wabaya wake lakini yeye huwatumikia wote kwa usawa kwani anajua akiwa kama waziri wa fedha hana mpinzani tofauti na baadhi ya mawaziri wanaotumia ofisi zao vibaya .

Kubwa na muhimu kwa Nchi Mwigulu ni Mzalendo sana kwa nchi yake mtiifu sana kwa watu wote anaowaongoza na mtiifu sana kwa Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania .
Kwa sasa Ndiye Waziri ambaye mataifa mengi ya Afrika yanatamani angekuwa ndiye waziri wao Mungu ametupa huyu mtu tumtumie .
Mwigulu ni Asset kwa Taifa lake.
 
Back
Top Bottom