Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 49,956
- 40,364
Kwan kuna shida gan?Ynaanzisha uzi halafu unajisapoti mwenyewe.
Mwachefua nyie
kuna mahali upepata madhara?
Kwan kuna shida gan?Ynaanzisha uzi halafu unajisapoti mwenyewe.
Mwachefua nyie
ACHA UJINGA AMEKUPA SH NGAPI HUYO MJINGA MWENZIOUnamfahamu Madelu Lameck Mwigulu Nchemba ? nimeguswa na kuamua kuandika makala haya kuhusu mbunge wa Iramba Singida Waziri wa fedha na baba wa familia ya watu wengi sana wanaomzunguka : Nitamuelezea Mwigulu kwa namna ninavyomfahamu kwa mambo yafuatayo :
Moja Mwigulu Nchemba ni mtu mwenye huruma na upendo haya yote yanaonekana katika maisha yake , anaidadi ambayo haina mwisho ya kusaidia watu Mwigulu hakusaidii mtu ili uende bali husaidia watu ili wafike anakusaidia huku ukiishi kwenye maisha yake yaleyale sio kubagua , atakusaidia na kukufanya ndugu hakuachi uende ! Mwigulu ni mwalimu , mlezi , mganga kwa wagonjwa faraja kwa wazee na wajane yatima ndio usiseme huyu ni kimbilio la wengi sana .
Mwigulu ninayemfahamu mimi nimtu wa kujituma kwaajili ya taifa lake halali , yupo tayari kubeba lawama ili mradi jambo muhimu la Kitaifa liweze kufanikiwa , nimsomi mwenye udaktari wa Uchumi elimu yake ya kweli kwani kaivusha Nchi katika wakati ambao Dunia inapita katika janga kubwa la anguko la uchumi .
Zaidi Mwigulu ni mtu mwenye moyo wa uvumilivu sana hasa anaposhambuliwa humkuti akijibu mitandaoni majibu yake daima atajibia bungeni haijalishi umemuandama namna gani yeye atakujibu kwa kutumia kanuni na jambo lenyewe lilivyo .
Mwigulu ni mtu wa maamuzi , sifa kubwa inayompasa kila kiongozi kuwa nayo sio mtu wa kuyumba yumba ana msimamo na jambo ambalo ni muhimu kwa wakati huo kwa taifa lake lakini zaidi ni mtu anayeshaurika , kusikiliza watu nadhani ni waziri wa kwanza Tanzania kuwa na uthubutu wa kusikiliza maoni dukuduku , changamoto za watu mbele ya hadhara huku kila mtu akinena anavyotaka .
Wengi tulishuhudia hili anapomaliza kusikiliza watu wanamkimbilia na kumshangilia hata ungekua wewe ungefurahi kuwa na kiongozi wa namna hii ya Mwigulu Nchema .
Kubwa zaidi ninalompendea Mwigulu Nchemba hana kinyongo na mtu kwa wizara anayoongoza angeitumia kama fimbo kwa wabaya wake lakini yeye huwatumikia wote kwa usawa kwani anajua akiwa kama waziri wa fedha hana mpinzani tofauti na baadhi ya mawaziri wanaotumia ofisi zao vibaya .
Kubwa na muhimu kwa Nchi Mwigulu ni Mzalendo sana kwa nchi yake mtiifu sana kwa watu wote anaowaongoza na mtiifu sana kwa Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania .
Kwa sasa Ndiye Waziri ambaye mataifa mengi ya Afrika yanatamani angekuwa ndiye waziri wao Mungu ametupa huyu mtu tumtumie .
uko sawa kabisa yaanHakika na wengi hawapendi kuona mtu anasifiwa pale anapofanya vizuri
sasa mbona chawa wake kasema ni mtu mwenye msimamo, asiyeyumbishwa. sasa kilichomfanyaga akawa kama kachanganyikiwa alipopigwa chni ni nn? au alivokuwa anahangaika kama kuku anayetaka kuanza kutaga ni nn, ndo msimamo na kutokuyumbishwa huko.Anaakili sana hiyo ndio namna pekee ya kuishi na viongozi wa africa sasa kupiga kwake magoti kumempa neema..
weye ni kupe au kunguni unamzungumzia chawa?sasa mbona chawa wake kasema ni mtu mwenye msimamo, asiyeyumbishwa. sasa kilichomfanyaga akawa kama kachanganyikiwa alipopigwa chni ni nn? au alivokuwa anahangaika kama kuku anayetaka kuanza kutaga ni nn, ndo msimamo na kutokuyumbishwa huko.
Naunga mkono hoja 👍👏🤝Tangu nchi hii ipate uhuru sijawahi kuona waziri bora wa fedha kama Bazil Pesambili Mramba.
Kama ni timu ya mpira,serikali ya Mkapa ilikuwa Barcelona ya akina Iniesta,Mesi n.k
Chawa katika ubora wakeUnamfahamu Madelu Lameck Mwigulu Nchemba ? nimeguswa na kuamua kuandika makala haya kuhusu mbunge wa Iramba Singida Waziri wa fedha na baba wa familia ya watu wengi sana wanaomzunguka : Nitamuelezea Mwigulu kwa namna ninavyomfahamu kwa mambo yafuatayo :
Moja Mwigulu Nchemba ni mtu mwenye huruma na upendo haya yote yanaonekana katika maisha yake , anaidadi ambayo haina mwisho ya kusaidia watu Mwigulu hakusaidii mtu ili uende bali husaidia watu ili wafike anakusaidia huku ukiishi kwenye maisha yake yaleyale sio kubagua , atakusaidia na kukufanya ndugu hakuachi uende ! Mwigulu ni mwalimu , mlezi , mganga kwa wagonjwa faraja kwa wazee na wajane yatima ndio usiseme huyu ni kimbilio la wengi sana .
Mwigulu ninayemfahamu mimi nimtu wa kujituma kwaajili ya taifa lake halali , yupo tayari kubeba lawama ili mradi jambo muhimu la Kitaifa liweze kufanikiwa , nimsomi mwenye udaktari wa Uchumi elimu yake ya kweli kwani kaivusha Nchi katika wakati ambao Dunia inapita katika janga kubwa la anguko la uchumi .
Zaidi Mwigulu ni mtu mwenye moyo wa uvumilivu sana hasa anaposhambuliwa humkuti akijibu mitandaoni majibu yake daima atajibia bungeni haijalishi umemuandama namna gani yeye atakujibu kwa kutumia kanuni na jambo lenyewe lilivyo .
Mwigulu ni mtu wa maamuzi , sifa kubwa inayompasa kila kiongozi kuwa nayo sio mtu wa kuyumba yumba ana msimamo na jambo ambalo ni muhimu kwa wakati huo kwa taifa lake lakini zaidi ni mtu anayeshaurika , kusikiliza watu nadhani ni waziri wa kwanza Tanzania kuwa na uthubutu wa kusikiliza maoni dukuduku , changamoto za watu mbele ya hadhara huku kila mtu akinena anavyotaka .
Wengi tulishuhudia hili anapomaliza kusikiliza watu wanamkimbilia na kumshangilia hata ungekua wewe ungefurahi kuwa na kiongozi wa namna hii ya Mwigulu Nchema .
Kubwa zaidi ninalompendea Mwigulu Nchemba hana kinyongo na mtu kwa wizara anayoongoza angeitumia kama fimbo kwa wabaya wake lakini yeye huwatumikia wote kwa usawa kwani anajua akiwa kama waziri wa fedha hana mpinzani tofauti na baadhi ya mawaziri wanaotumia ofisi zao vibaya .
Kubwa na muhimu kwa Nchi Mwigulu ni Mzalendo sana kwa nchi yake mtiifu sana kwa watu wote anaowaongoza na mtiifu sana kwa Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania .
Kwa sasa Ndiye Waziri ambaye mataifa mengi ya Afrika yanatamani angekuwa ndiye waziri wao Mungu ametupa huyu mtu tumtumie .
umejibu au umeuliza swali, au na wewe unaishi kwa madelu?weye ni kupe au kunguni unamzungumzia chawa?
hule wa kukula manyasi lasima hununue dege wa Rais? die ile mutu?Naunga mkono hoja 👍👏🤝
hapana, naishi kwa madalaliumejibu au umeuliza swali, au na wewe unaishi kwa madelu?
sio ubize ni kawaida yake kutoa ahadi za uongoChawa katika ubora wake
Nimesoma na mpwa wa madelu yaan mtoto wadada Ake wa tumbo Moja...
Madelu ni mtu busy sanaa sijawai kuonana nae ila rafk angu alikuaga anampigia simu kumuomba Pocket money...
Jamaa yupo busy mno kiasi jamaa alikua anasahaulika kutumiwa mpaka akampigia akawa anamlalamikia anko wake kua anamdanganya....
Nakumbuka jamaa akampigia akalalamika sana ndipo madelu akamtumia 50,000/=
Ilikuaga zamani sanaaaa
Hii NDIO kumbukumbu yangu
thatha humepataje hajiria?Kuna watu wengi hukataa unafiki na uchawa sure mm kipindi Flani nili bahatika kuwa karibu na wazazi wa kiongozi mashuhuri hapa bongo na nilipendwa sanaa na wale wazee kutokana na kazi nilio kua naifanya kwao...
Ningekuaga na roho ya uchawa ningefanya lobbying kidogo tu wengine ata iweje Huwa tumeshindwaga kua chawa period!!
Uchawa ni karama mkuu, kama hyo karama huna utajitahidi lkn hautaweza kamweKuna watu wengi hukataa unafiki na uchawa sure mm kipindi Flani nili bahatika kuwa karibu na wazazi wa kiongozi mashuhuri hapa bongo na nilipendwa sanaa na wale wazee kutokana na kazi nilio kua naifanya kwao...
Ningekuaga na roho ya uchawa ningefanya lobbying kidogo tu wengine ata iweje Huwa tumeshindwaga kua chawa period!!
Mkuu Huyu mpwa wake tulikuaga washikaji sanaa...sio ubize ni kawaida yake kutoa ahadi za uongo
unaweza Kuta huyu mleta Uzi ni baba wa familia aibu sana.Unamfahamu Madelu Lameck Mwigulu Nchemba ? nimeguswa na kuamua kuandika makala haya kuhusu mbunge wa Iramba Singida Waziri wa fedha na baba wa familia ya watu wengi sana wanaomzunguka : Nitamuelezea Mwigulu kwa namna ninavyomfahamu kwa mambo yafuatayo :