Kwani Mwigulu Nchemba ni nani bwana wewe?

Kwani Mwigulu Nchemba ni nani bwana wewe?

Anafanya kazi nzuri mpaka sasa analipa mishahara , miradi inatekelezeka fedha za miradi na stahili mbalimbali zinashuka mpaka kwenye lower levels hiki kwangu ni kipimo kikubwa sana. Tafadhali mwigulu kazana unakwenda vizuri so far.

Yes hakuna siku ukasikia wafanyakazi hawajalipwa mishahara ama mradi wowote umekwama very true
 
Huyu mwizi wa fedha za passport ndio unataka kutuleta ujinga wake.

Fala wewe.
 
Back
Top Bottom