Kwani Mwigulu Nchemba ni nani bwana wewe?

huyu jamaa alitoa ahadi ya kuchangia 10m dhehebu la kkt hapa dar, mchungaji alipiga simu na kutuma sms mpaka mwishowe akajichokea.

hyu jamaa alipopigwa chini enzi za magu alikuwa kama kuku anayetaka kutaga, nadhani mnanielewa, watu wanakumbuka alichowafanyaga cdm arusha akiwa kiongozi wa kundi fulani, sifa unazompa hazimstahili
Hana hata moja
 
Unamfahamu Madelu Lameck Mwigulu Nchemba ? nimeguswa na kuamua kuandika makala haya kuhusu mbunge wa Iramba Singida Waziri wa fedha na baba wa familia ya watu wengi sana wanaomzunguka : Nitamuelezea Mwigulu kwa namna ninavyomfahamu kwa mambo yafuatayo :

Moja Mwigulu Nchemba ni mtu mwenye huruma na upendo haya yote yanaonekana katika maisha yake , anaidadi ambayo haina mwisho ya kusaidia watu Mwigulu hakusaidii mtu ili uende bali husaidia watu ili wafike anakusaidia huku ukiishi kwenye maisha yake yaleyale sio kubagua , atakusaidia na kukufanya ndugu hakuachi uende ! Mwigulu ni mwalimu , mlezi , mganga kwa wagonjwa faraja kwa wazee na wajane yatima ndio usiseme huyu ni kimbilio la wengi sana .

Mwigulu ninayemfahamu mimi nimtu wa kujituma kwaajili ya taifa lake halali , yupo tayari kubeba lawama ili mradi jambo muhimu la Kitaifa liweze kufanikiwa , nimsomi mwenye udaktari wa Uchumi elimu yake ya kweli kwani kaivusha Nchi katika wakati ambao Dunia inapita katika janga kubwa la anguko la uchumi .

Zaidi Mwigulu ni mtu mwenye moyo wa uvumilivu sana hasa anaposhambuliwa humkuti akijibu mitandaoni majibu yake daima atajibia bungeni haijalishi umemuandama namna gani yeye atakujibu kwa kutumia kanuni na jambo lenyewe lilivyo .

Mwigulu ni mtu wa maamuzi , sifa kubwa inayompasa kila kiongozi kuwa nayo sio mtu wa kuyumba yumba ana msimamo na jambo ambalo ni muhimu kwa wakati huo kwa taifa lake lakini zaidi ni mtu anayeshaurika , kusikiliza watu nadhani ni waziri wa kwanza Tanzania kuwa na uthubutu wa kusikiliza maoni dukuduku , changamoto za watu mbele ya hadhara huku kila mtu akinena anavyotaka .

Wengi tulishuhudia hili anapomaliza kusikiliza watu wanamkimbilia na kumshangilia hata ungekua wewe ungefurahi kuwa na kiongozi wa namna hii ya Mwigulu Nchema .

Kubwa zaidi ninalompendea Mwigulu Nchemba hana kinyongo na mtu kwa wizara anayoongoza angeitumia kama fimbo kwa wabaya wake lakini yeye huwatumikia wote kwa usawa kwani anajua akiwa kama waziri wa fedha hana mpinzani tofauti na baadhi ya mawaziri wanaotumia ofisi zao vibaya .

Kubwa na muhimu kwa Nchi Mwigulu ni Mzalendo sana kwa nchi yake mtiifu sana kwa watu wote anaowaongoza na mtiifu sana kwa Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania .
Kwa sasa Ndiye Waziri ambaye mataifa mengi ya Afrika yanatamani angekuwa ndiye waziri wao Mungu ametupa huyu mtu tumtumie .
We mpambe vyovyote unavyoweza hapambiki
Nafasi yake aliyonayo alichoweza ni kuongeza mitozo.
 
Sasa hii ni campaign au ndio nini. Sisi huku mtaani uzuri wake ni jinsi kama waziri wa fedha tunaona nini. Petrol bei juu, vitu vyote ghali, vifurushi simu ghali, chakula usiseme, etc etc. Yeye lakini anamudu maisha mazuri na kusaidia jamaa zake.

Kwa taarifa yako ni kwamba kwa sasa kwa Nchi za East Afrika Tanzania ndiyo yenye mfumuko mdogo wa bei za bidhaa na huduma angalia bei ya petroli Kenya utaniambia angalia bei za vyakula Uganda Tanzania tupo vizuri pamoja na janga la Dunia
 
Waziri pekee aliyeapishiwa Ikulu ndogo ya Chato
baada ya kujipendekeza sana baaea ya kupigwa chni, wanasema alikuwa anaomba akipata chance ya kuongea na magu wakati kapigwa chn, alikuwa anampigia hadi magoti akimuomba amsamehe.
 
huyu jamaa alitoa ahadi ya kuchangia 10m dhehebu la kkt hapa dar, mchungaji alipiga simu na kutuma sms mpaka mwishowe akajichokea.

hyu jamaa alipopigwa chini enzi za magu alikuwa kama kuku anayetaka kutaga, nadhani mnanielewa, watu wanakumbuka alichowafanyaga cdm arusha akiwa kiongozi wa kundi fulani, sifa unazompa hazimstahili

Hakuna uthibitisho ndugu yangu
 
baada ya kujipendekeza sana baaea ya kupigwa chni, wanasema alikuwa anaomba akipata chance ya kuongea na magu wakati kapigwa chn, alikuwa anampigia hadi magoti akimuomba amsamehe.

Au unamchanganya na Kipara ndugu yangu ?
 
Kampeni za Ubunge zimeanza ..? Form ya Urais ni moja tu ..tunaprint na atachukua mama
 
We mpambe vyovyote unavyoweza hapambiki
Nafasi yake aliyonayo alichoweza ni kuongeza mitozo.

Kumbe mnamuogopa sana Mwigulu watu wakipara sifa nzuri za mtu ni mapambo yasiyohitaji gharama kaka
 
Unamfahamu Madelu Lameck Mwigulu Nchemba ? nimeguswa na kuamua kuandika makala haya kuhusu mbunge wa Iramba Singida Waziri wa fedha na baba wa familia ya watu wengi sana wanaomzunguka : Nitamuelezea Mwigulu kwa namna ninavyomfahamu kwa mambo yafuatayo :

Moja Mwigulu Nchemba ni mtu mwenye huruma na upendo haya yote yanaonekana katika maisha yake , anaidadi ambayo haina mwisho ya kusaidia watu Mwigulu hakusaidii mtu ili uende bali husaidia watu ili wafike anakusaidia huku ukiishi kwenye maisha yake yaleyale sio kubagua , atakusaidia na kukufanya ndugu hakuachi uende ! Mwigulu ni mwalimu , mlezi , mganga kwa wagonjwa faraja kwa wazee na wajane yatima ndio usiseme huyu ni kimbilio la wengi sana .

Mwigulu ninayemfahamu mimi nimtu wa kujituma kwaajili ya taifa lake halali , yupo tayari kubeba lawama ili mradi jambo muhimu la Kitaifa liweze kufanikiwa , nimsomi mwenye udaktari wa Uchumi elimu yake ya kweli kwani kaivusha Nchi katika wakati ambao Dunia inapita katika janga kubwa la anguko la uchumi .

Zaidi Mwigulu ni mtu mwenye moyo wa uvumilivu sana hasa anaposhambuliwa humkuti akijibu mitandaoni majibu yake daima atajibia bungeni haijalishi umemuandama namna gani yeye atakujibu kwa kutumia kanuni na jambo lenyewe lilivyo .

Mwigulu ni mtu wa maamuzi , sifa kubwa inayompasa kila kiongozi kuwa nayo sio mtu wa kuyumba yumba ana msimamo na jambo ambalo ni muhimu kwa wakati huo kwa taifa lake lakini zaidi ni mtu anayeshaurika , kusikiliza watu nadhani ni waziri wa kwanza Tanzania kuwa na uthubutu wa kusikiliza maoni dukuduku , changamoto za watu mbele ya hadhara huku kila mtu akinena anavyotaka .

Wengi tulishuhudia hili anapomaliza kusikiliza watu wanamkimbilia na kumshangilia hata ungekua wewe ungefurahi kuwa na kiongozi wa namna hii ya Mwigulu Nchema .

Kubwa zaidi ninalompendea Mwigulu Nchemba hana kinyongo na mtu kwa wizara anayoongoza angeitumia kama fimbo kwa wabaya wake lakini yeye huwatumikia wote kwa usawa kwani anajua akiwa kama waziri wa fedha hana mpinzani tofauti na baadhi ya mawaziri wanaotumia ofisi zao vibaya .

Kubwa na muhimu kwa Nchi Mwigulu ni Mzalendo sana kwa nchi yake mtiifu sana kwa watu wote anaowaongoza na mtiifu sana kwa Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania .
Kwa sasa Ndiye Waziri ambaye mataifa mengi ya Afrika yanatamani angekuwa ndiye waziri wao Mungu ametupa huyu mtu tumtumie .
Wachinawalikufa wengi sn wkt wamapinduzi ya kiuchumi kwao sisi tuna economic insecurity and instability kila ukiamka unakuta bei tofauti sn juzi wengi tunamfahamu through vyombo vya hatari and majority hatujui inner cycle yake.
Kwa masiha ya kiafrika and cheo alichonacho sishangai kua na msululu wawatu wanaomtegemea kwakua muafrica anawaza urahisi na starehe kwanza insisted of finding yours
 
Wala kipa hakujipendekezaga kwa magu baada ya kupigwa chni, aliendelea na mishe zake, madilu ndo alikuwa kama kachanganyikiwa vile, kujipendekeza kama nn sijui.

Hujasoma na kuelewa watu wakipara mkiona neno Mwigulu mnaishiwa pumzi mpeni tu maua yake
 
Wachinawalikufa wengi sn wkt wamapinduzi ya kiuchumi kwao sisi tuna economic insecurity and instability kila ukiamka unakuta bei tofauti sn juzi wengi tunamfahamu through vyombo vya hatari and majority hatujui inner cycle yake.
Kwa masiha ya kiafrika and cheo alichonacho sishangai kua na msululu wawatu wanaomtegemea kwakua muafrica anawaza urahisi na starehe kwanza insisted of finding yours

Duh mawazo yako mazuri na nimekuelewa kuwa hujaelewa kuwa namzungumzia kwa namna ninavyomfahamu mimi ! Kwani viongozi wangapi na hawawajibiki kwa jamii dharau kibao kujiona kina Obama ! Tofauti na Mwigulu ukija kumfuatilia utajua mengi na zaidi kama kaelimu kauchumi kama kapo kichwani utajua namaanisha nini ?
 
Yes hayo ni maoni na ushauri nchi kubwa mambo mengi reli kibao zinajengwa kumbuka ukisema TAZARA huzungumzii Tanzania tu mbona reli zetu za ndani zinafanya kazi na zingine kujengwa ! Kuhusu thamani ya vitu vyetu chukulia tu kwenye kilimo kwa upande wa mazao mbona tunauza bei ghali sana kaka
Hata matumizi hafifu ya reli ya kati ni uongozi mbovu na matumizi mabaya ya rasilimali tulizonazo na kuwatesa wananchi Kwani usafiri wa Bus Kwa mwendo mrefu sio rafiki kwa wazee na wagonjwa . Kisa kutetea wenye mabus
 
Back
Top Bottom