Kwani lazima mvae hizi chupi?

Team nandy????? C uliona bilnenga alikuwa anachokonoa mtandao pendwa... (jokes)
 
Hata robo siwezi G ana uwezo wa kuninulia ile BMW x6 kama aliyosema bold akipata pesa kwenye forex atamnunulia nifa
Bhana BMW X6 ina tumia sana mafuta, isitoshe TRA, na Mkaguzi wa hesabu wataanza kukusumbua na utakosa kampani maana ukiingia nayo uswazi watajua umekuja kuosha...au fine tufanye mimi ni yatima mwombe G uje kunifanyia counselling! Ukifika ingia tu na viatu vyako!
 
Itakuwa wanapenda kujichokonoa, ndio maana wanavaa hizo kusudi iwe sababu yakujichokonoa
 
Leo nimeona maajabu ya Dunia haki.... Maana minilijua hizo ni kamba tu, kumbe kuna Ke zinawahifadhia faragha zao....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Makubwa haya wallah....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Ahahahahahahha kwendeaaa
 
Daaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…