D
Deleted member 485868
Guest
[emoji23][emoji23]
inaitwa subalkheriChupi ya Nandy mnaiita mfuko wa mashine ya unga
Kipige picha tukioneHizi bikini kwa kweli zilishaga nipita kushoto,kwanza hua nahofia marinda yangu hako kamkanda kanavyoingia katikati nakua sina amani,pili nahofia makalio kugawanyika na kuweka uwazi hata ukivaa suruali yanakaa moja mashariki lingine magharibi bila kuwa na ushirikiano.
Ndo mana najivaliaga chupi ya kufunika tako lote,au zile boxer za kike,au hata za kiume napiga tu,nikishindwa kabisa natemba tu hivyo hivyo,tunashauriwa tuwe tunaacha vibumbu vipigwe hewa[emoji23] [emoji23]
Ila hiyo inafaa namvalia G ili akitaka mambo hakuna cha kuhangaika kuvua ni anavuta kamba tu
Sio minyoo hiyo [emoji7][emoji8]Ndio matokeo ya kujichokonoa kila saa kuivuta chupi ,si mvae zinazoziba makalio jamani ona hii dhahama sasa
Mnaovaa hizi chupi ndio mnakuwaga hivi kila saa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] team nandy memeView attachment 747174
Hivyo hivyo unavaaa kibumbu na mashavu njee hapo unafunika kiharagee tu
Daah wewe akili zako aise ...hahahHivyo hivyo unavaaa kibumbu na mashavu njee hapo unafunika kiharagee tu
Chupi ya Nandy mnaiita mfuko wa mashine ya unga
Hizi bikini kwa kweli zilishaga nipita kushoto,kwanza hua nahofia marinda yangu hako kamkanda kanavyoingia katikati nakua sina amani,pili nahofia makalio kugawanyika na kuweka uwazi hata ukivaa suruali yanakaa moja mashariki lingine magharibi bila kuwa na ushirikiano.
Ndo mana najivaliaga chupi ya kufunika tako lote,au zile boxer za kike,au hata za kiume napiga tu,nikishindwa kabisa natemba tu hivyo hivyo,tunashauriwa tuwe tunaacha vibumbu vipigwe hewa[emoji23] [emoji23]
Afadhali hii ya kwanguView attachment 747187