Kwani lazima mvae hizi chupi?

Kwani lazima mvae hizi chupi?

Halafu uliza bei yake sasa! Ile ya Nandi ni mara kumi yake... Halafu ukitaka kuiona lazima upekenyue kalio... Mambo mengine mitihani tupu
Mkuu,kwa Nandi unapekenyua kalio gani wakati naona mwanamke ni mifupa mitupu kama nguzo ya umeme!
 
Poleeee kaka
Nitapoa taratibu taratibu cuz nimeshaanza kupiga kisigino kwa jiwe soon nitakuwa sana,lkn nawe pia upunguze hayo maneno...huku niliko mwenyekiti amesimama wanataka kuitisha kikao bila wajumbe wala agenda..."ndugu mgeni rasmi kikao kimeahirishwa kwa kuwa katibu hajaleta agenda na wajumbe hajafikia nusu...makofi pwaa...pwaa...pwaa...pwaa...pwaaaaaaaaaa"
 
Back
Top Bottom