No my dear,ni lazima kulikuwa na sababu.Inawezekana uliamua kuingia katika ndoa kwa sababu tu ndivyo utaratibu jinsi ulivyo,mtu wa umri wako ni lazima awe katika ndoa.Lakini lazima kulikuwa na sababu
sababu yenyewe ndio hiyo chemistry!!!!
You know how chemistry works, yaani hata ukimwona hununi, hukasiriki ka vitu vidogo vidogo, hamgombani hovyo na kila wakati unapenda muwe pamoja. Mna story zisizoisha, kila siku mnalala saa nane za usiku mkiongea na kucheka. Soo compatible...... hapo je kuna kufikiria ndio ndoa mara mbili? inakuja tuuu
Bianafsi ilikuwa na sababu kadhaa za kuoa.Kwanza nilikuwa natekeleza maamrisho ya dini yangu na nilikuwa naogopa sana kufanya zinaa na matokeo yake hasa kupata mtoto nje ya ndoa.Matamanio yangu ya mwili yalikuwa sababu ya pili,nilihitaji kuutendea haki mwili wangu bila ya kumkasirsha Muumba.Tatu,majukumu niliyonayo katika familia yetu niliamini nitaweza kuyatimiza kwa ukamilifu zaidi kama nitaoa,sijui imani hii niliitoa wapi.Hivyo baada ya kumaliza tuu chuo cha kwanza kufanya ilikuwa kuoa.The last thing was to have a family, a happy one.Sababu nyingine ni ndogo ndogo.
Baba watatu, niliwahi kusoma makala moja mahali iliyokuwa na kichwa cha habari " Kwa nini unaoa au kuolewa" Muandishi wa makala hiyo alizungumzia katika mitazamo miwili tofauti. Kwanza mtazamo wa kiimani (dini) ingawa hapa kiasi fulani alipinga baadhi ya mambo. Kwamba kwa kuwa dini zote zinakemea uzinzi watu wanaofikia umri wa kuoa au kuolewa huamua kufunga ndoa ili kuhalalisha hilo tendo. Ingawa kulingana na hadithi zilizopo katika vitabu vya dini mwanadamu alipoumbwa mwanamke na mwanaume waliambiwa na mungu kuwa waende duniani wakazaane na kujaza ulimwengu (hawakuambia nendeni mkaone then mzae na kujaza ulimwengu). So muandishi alichukulia ndoa ni ubunifu wa binadamu katika kutaka kurasimisha tendo la ngono.
Jambo la pili ni kuwa ndoa imechuliwa kama ni hurka ya ubinafsi ambayo binadamu wamekuwa nayo toka enzi na enzi. Kwamba mwanamke na mwanaume wakipendana kinachofatia ni wao kutopenda mtu mwingine kuwaingilia katika mahusiano yao hivyo ili kujenga uzito katika kuzuia kuingiliwa wanaamua kuona na kufanya jamii ione kuwa fulani ni mke au mume wa mtu kwa hiyo ni dhambi au vibaya kuwa na mahusiano ya kimapenzi nae ingawa hilo halina nguvu sana kwani tumeshuhudia watu walioko katika ndoa wakisaliti ndoa zao.
Pili kuoa au kuolewa yawezekana inatokana na mtazamo wa kutojiamini sana. Kwamba ukimpata mpenzi unayempenda unahisi kuwa salama zaidi kimapenzi kiasi kwamba akili yako inakufanya uamini kuwa bila ya huyo mtu maisha yako hayajakamilika. So njia bora unaona ni kumuoa huyo mwanamke au kuolewa na huyo mwanaume ili uamini kuwa ni wako tu!!!
Yawezekana pia kukawa na sababu nyingine nyingi tu kwani mazingira hutofautiana kati ya mtu na mtu kama kufata kipato alichonacho mtu, mali, umaarufu n.k.
Kuoa/kuolewa ni majaaliwa! Tena ni amri ya mwenyezi mungu ndiyo sababu Mungu alipomuumba Adam aliona ana upweke sana akamuumba Hawa. Maoni yangu ni kuwa ndoa ni muhimu, for the sake of the family institution, hutaki kufikia uzeeni mpweke huna hata mwenzako wa kukupa maji ukiwa mgonjwa.Tena ukiwa unataka kupata watoto ni muhimu kuwalea in a complete family set up.Jamani tutii amri za aliye juu!
Bianafsi ilikuwa na sababu kadhaa za kuoa.Kwanza nilikuwa natekeleza maamrisho ya dini yangu na nilikuwa naogopa sana kufanya zinaa na matokeo yake hasa kupata mtoto nje ya ndoa.Matamanio yangu ya mwili yalikuwa sababu ya pili,nilihitaji kuutendea haki mwili wangu bila ya kumkasirsha Muumba.Tatu,majukumu niliyonayo katika familia yetu niliamini nitaweza kuyatimiza kwa ukamilifu zaidi kama nitaoa,sijui imani hii niliitoa wapi.Hivyo baada ya kumaliza tuu chuo cha kwanza kufanya ilikuwa kuoa.The last thing was to have a family, a happy one.Sababu nyingine ni ndogo ndogo.
Personally nadhani ndooa ziko overated sikuhizi na siamini eti ndoa inakuepusha na mambo mengi.
wanawake sasa hivi wengi wameamka na nadhani its better to be careful kabla hujaingizwa kwenye huu mtego wa commitment especially na wanawake ambao wako in their early 30's kwani they have this biological clock na cha ajabu ni kuwa hata choices zao zinapungua from Mr PERFECT to MR RIGHT
nimeona bora niwape heads up kwenye hilo you dont wanna lose everything kama hiyo ndoa isipowork out au ukiboreka
sijui nyinyi mnaonaje?
Mkuu HeartBreaker,
Sijazungumzia fashion kwenye hili.Soma between the lines na ona vitu muhimu, hiari, uvumilivu, useja, nk.
Mbona wako washkaji kibao hawajaoa na hawana mpango? huo ulazima u wapi. It is a personal decison based on the two choises available celibacy, and marriage.Lakini in mariage there too much things to be desired .
Duaniani wawili wawili. GT Maisha ya upweke is not kind to the soul. Most marriages end up being a companionship/friendship. In your twilight years in you, in the sunset years you will need someone. So why not marry. Get a friend and spouse.
I guess you have never been alone for a long time, that is most probably why you do not appreciate ndoa.
Being alone, living alone and dying alone...is that what you want for yourself.
No one to talk to, even kubishana nae, I mean it is bleak, the way God created us humanbeings is unique, HE created us with an inherent need for companionship, friendship, love, understanding and procreation. It is deep inside you it just has not manifested it self. When it does you will look for some one to marry in a hurry!!
Give it a thought!! Prepare yourself mentally. Your mind might tell you that you do not need marriage and all it entails but you heart and soul speak their own language. Even in the animal Kingdom some animals mate for life.
The dynamics have changed as we live in a fast pace ever changing world. I know that almost 50% of marriages in this country are in divorce and in TZ would have bee worse due to historical and cultural norms(in short women dont have much rights when it comes to divorce).
I know people walk down the arranged marriage route starry eyed with the best of intentions, but let's face facts relationships change with time. People grow, people change, sometimes people go into marriages with their own agendas that the other spouse has no idea about until after the marriage vows take place.
How many people are stuck in marriages that are emotionally or phsyically abusive? How many people are stuck in marriages for the sake of their children? How many people are stuck in marriages because they lack the courage to make a life for themselves? How many people are stuck in marriages because leaving would be detrimental to them financially.
Society teaches us that there is going to that one relationship that is suppose to last a lifetime. Life teaches up that more often than not this is not the case...so lets cut this marriage is the route to happiness and be realistic: ITS NOT
Personally nadhani ndooa ziko overated sikuhizi na siamini eti ndoa inakuepusha na mambo mengi.
wanawake sasa hivi wengi wameamka na nadhani its better to be careful kabla hujaingizwa kwenye huu mtego wa commitment especially na wanawake ambao wako in their early 30's kwani they have this biological clock na cha ajabu ni kuwa hata choices zao zinapungua from Mr PERFECT to MR RIGHT
nimeona bora niwape heads up kwenye hilo you dont wanna lose everything kama hiyo ndoa isipowork out au ukiboreka
sijui nyinyi mnaonaje?
Kama kweli mtu ni mzima na hauna matatizo yoyote kuoa ni lazima hata dini na mila zinatambua hilo! Tusitake sometimes kupotoshana!