Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,899
Habari wana-MMU!
Hivi karibuni nimempata mpenzi wangu mpya baada wa yule wa mwanzo kuamua kuchukua hamsini zake,.
Katika hatua za mwanzo za kufahamiana na huyu mpenzi mpya nilimuelezea ukweli kwamba kabla yake nilikuwa na mtu ila kwa sasa tumeshaachana na hatuna mawasiliano ya aina yoyote!
Tatizo la huyu binti kila weekend anataka tuonane, yaani tupatiane yale mambo ya kikubwa! Wakati mwingine natingwa na majukumu mengine nakosa muda,.
Nikimuelezea kwamba nakuwa nimebanwa analalamika bado haniamini anafikiri bado nipo na yule mpenzi wangu wa zamani.
Naomba wanaMMU mnishauri nini cha kufanya huyu binti anielewe!!
Hatushauri wazinzi hapa...oa