Kwani lazima kila weekend jamani?

Kwani lazima kila weekend jamani?

Habari wana-MMU!

Hivi karibuni nimempata mpenzi wangu mpya baada wa yule wa mwanzo kuamua kuchukua hamsini zake,.

Katika hatua za mwanzo za kufahamiana na huyu mpenzi mpya nilimuelezea ukweli kwamba kabla yake nilikuwa na mtu ila kwa sasa tumeshaachana na hatuna mawasiliano ya aina yoyote!

Tatizo la huyu binti kila weekend anataka tuonane, yaani tupatiane yale mambo ya kikubwa! Wakati mwingine natingwa na majukumu mengine nakosa muda,.

Nikimuelezea kwamba nakuwa nimebanwa analalamika bado haniamini anafikiri bado nipo na yule mpenzi wangu wa zamani.

Naomba wanaMMU mnishauri nini cha kufanya huyu binti anielewe!!

Ndioo maana yule alikuacha, unaonekana hujajifunza.
 
Uvivu wa kugegeda ndo maana mnagegedwa nyie!!!

ayoo maneno ya khanga tu. kwenye akili zenu muwe mnafikiria mambo mengine ya maisha sio kugegedwa tu. hamjionei huruma? hujaolewa mititi yameshalala kama malapa. apo bado hujanyonyesha.
 
Yasimame kwani mamiss haya peleka utoto wako huko pyeeee
 
WANAUME MAJANGA TNA MAJANGA
penzi jpya unashindwa kumpa huduma

hufai hta kwa spear tyre watakusadia wenzio
 
Mambo uliyataka mwenyewe kutaka kulamba lamba, wewe endelea tu
 
Labda nayeye siku zingine anabanwa na shuhuli kasoro weekends..
 
Habari wana-MMU!

Hivi karibuni nimempata mpenzi wangu mpya baada wa yule wa mwanzo kuamua kuchukua hamsini zake,.

Katika hatua za mwanzo za kufahamiana na huyu mpenzi mpya nilimuelezea ukweli kwamba kabla yake nilikuwa na mtu ila kwa sasa tumeshaachana na hatuna mawasiliano ya aina yoyote!

Tatizo la huyu binti kila weekend anataka tuonane, yaani tupatiane yale mambo ya kikubwa! Wakati mwingine natingwa na majukumu mengine nakosa muda,.

Nikimuelezea kwamba nakuwa nimebanwa analalamika bado haniamini anafikiri bado nipo na yule mpenzi wangu wa zamani.

Naomba wanaMMU mnishauri nini cha kufanya huyu binti anielewe!!

wewe endelea kubanwa na majukumu , wenzako mtaani wakusaidie.
 
nadhani umeyapata majibu yanayokufaa humuu eh...usimuamshee aliye lala utalala wewe! mie ningependa umwambie mpenzio muonane kila mwisho wa mwezii na siyo tena weekend! afu uone wenzio watakavyokusaidia kazii.
 
Back
Top Bottom