Kwani bila pombe sherehe haikamiliki?

Kwani bila pombe sherehe haikamiliki?

Dunian starehe Ni mbili tu ...
1- stimu ( pombe,bangi nk...)
2- Sex

Vingine Kama mpira,mziki nk hvo Ni extraordinary

Ogopa mtu ambae Yuko sober 24/7 Narudia Tena muogope huyo Ni Zaid ya mnyama wa porin
Unaelewa maana ya hilo neno sober au umelitumia tu.

Labda tuambie mtu ambaye yuko sober anakuaje.
 
Back
Top Bottom