Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,469
- 17,975
Kwa kweli hakuna hakuna kabisa wa kuishinda reggae mzee. Ukitaka nyimbo za mapenzi sawa sijui siasa haya twende.Kwakeli niwe muwaz,napenda sana muziki a reggae, ni muziki ambao huuchoki kuusikiliza,kuanzia beats mpaka vocal ni namna gani hawa watu wanakipaji cha muziki.
Hata MTU asivutie kwenye kuimba lakin bado ukapata ile radha ya vyombo ~instrument~.
Kwa hiyo huu muziki kwangu utaendelea kuwa bora
Tumia browser badala ya app.Mzigo haufunguki.....
AlaineKwa kweli hakuna hakuna kabisa wa kuishinda reggae mzee. Ukitaka nyimbo za mapenzi sawa sijui siasa haya twende.
Hivi punde nilikua nakula vitu toka Busy Signal Chris Martin mdada Cecil.
Mdada Cecily amenikumbusha khs baby mama dah wacha tu mzee
Kweli mkuu Reggae mpango mzimaKwakeli niwe muwaz,napenda sana muziki a reggae, ni muziki ambao huuchoki kuusikiliza,kuanzia beats mpaka vocal ni namna gani hawa watu wanakipaji cha muziki.
Hata MTU asivutie kwenye kuimba lakin bado ukapata ile radha ya vyombo ~instrument~.
Kwa hiyo huu muziki kwangu utaendelea kuwa bora
Halafu sijui kwa nini chafu za muziki huu hawaletwi Bongo, kule Kenya akina Busy wanaenda sana na around October mzee Busy Signal alikua zake Harare hapo si mchezo mzeeAlaine
Busy Signal
J Boog
Chris Martin
Damian Marley
Acha Reggae iitwe Reggae.
Wengi wetu huku tunapenda vitu kwa maneno ya sifa,vitendo na Support hakuna.Halafu sijui kwa nini chafu za muziki huu hawaletwi Bongo, kule Kenya akina Busy wanaenda sana na around October mzee Busy Signal alikua zake Harare hapo si mchezo mzee