GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,738
- 109,176
Awali ya yote nianze kwa Kukupongeza sana na kwa Furaha mno 'Poti' wangu wa Kizanaki kutoka Mkoani Mara na Mkurugenzi Mwenza wa Gazeti la JAMHURI Kaka Manyerere Jackton kwa kupata Masters Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu changu 'pendwa' Tanzania nzima cha SAUT Mwanza.
Kwa 'Msuli' ambao najua ( naujua ) upo SAUT ( Chuo Kikuu cha kupika Think Tanks tupu wa Tanzania ) Kwangu Mimi GENTAMYCINE Wewe ndiyo umesoma kweli na hiyo Masters Degree yako inakustahili kuliko wale 'Wasanii' Wawili waliopata Doctorates zao za 'Kitonga' kutoka UDOM wakati hata 'Dissertations' zao tu wamefanyiwa halafu leo tunawasifu.
Hongereni hasa Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza kwa kuendelea kutoa Elimu yenu bora na ya 'Kutukuka' nchini Tanzania na kuwaongezea Maarifa na Ujuzi Watu 'maarufu' kama 'Poti' wangu huyu Manyerere Jackton na Wengineo hasa katika Fani hii ya Mawasiliano ya Umma na Uandishi wa Habari. Mbarikiwe mno SAUT na tambueni kuwa GENTAMYCINE nawapenda hadi nachanganyikiwa nanyi kwani kwa hii Degree yenu tu mliyonipa 2009 huku mtaani ( mpaka hapa JamiiForums ) yaani ninawakimbiza hadi wanadhani nina Phd ( Doctorate ) wakati hata sina.
Haya 'Poti' wangu Manyerere Jackton tafadhali nitunzie hizo 'Notes' zako za Masters Degree kwani mdogo wako GENTAMYCINE nitazihitaji pale nitakapoamua kusoma tena 'Masters Degree' hiyo ya 'Mass Communication' hapo hapo SAUT Mwanza ( hasa Tawi lao la Dar es Salaam Msimbazi Center ) ambapo niliianza ila kwa Msuli wake ( Ugumu ) nikaikimbia Kwanza ili niuandae vyema Ubongo wangu kwa Taaluma yao ya hali ya Juu hapo SAUT.
Ila najua pamoja na Kufanikiwa Kwako huku ila hawa 'Washamba' kutoka Mikoa ya Kagera ( kwa Wahaya ), Singida ( kwa Wanyiramba na Wanyaturu ), Kigoma ( kwa Waha ), Dodoma ( kwa Warangi ), Ukerewe Mwanza ( kwa Wakara ) na Tabora ( kwa Wanyamwezi ) hawajafurahi na wanakuonea mno Wivu ( Kijicho ) kwani wanaona kila Siku tu Wasomi ( Intellectuals ) wanazidi Kuongezeka Mkoani Mara ( Musoma ) huku Kwao wakipungua.
Hongereni nyote mliosoma SAUT na mnaosoma SAUT kwani ndiyo Chuo Kikuu pekee Bora, cha Uhakika na ambacho kinazalisha 'Geniuses' tupu nchini Tanzania na hata nchi za Jirani pia. Na ambao hamjasoma SAUT nawapeni Pole kwani mmekosa vingi kwakuwa Elimu ya Mkatoliki ( Kikatoliki ) ipatikanayo hapo SAUT Mwanza haikufanyi uwe tu ni Einstein ( Genius ) lakini pia inakufanya uwe Critical Thinker na tegemeo la Mabadiliko kwa Jamii uliyopo na Taifa ulilopo.
Hongera mno 'Poti' Manyerere Jackton.