Kwangu harufu ilikua ni kigezo namba moja

Ingawa kuna magonjwa yanayoweza sababisha mtu akawa anatoa harufu mbaya mdomoni lakini mimi nina amini kwamba idadi kubwa ya watu hawajui tu namna ya kusafisha vinywa vyao.

Nasema hivyo kwa sababu hata wewe hapo ulipo ukijaribu kuuliza waliokuzunguka kama huwa wana floss meno yao au kama huwa wanakwangua ndimi zao uwezekano wa kupewa jibu la hapana ni mkubwa sana.

Na kukwangua ulimi kwa kikwangua ulimi ni tofauti na kubrashi ulimi kwa kutumia mswaki.

Itakuwa lakini ni afadhali anayeswaki kuliko asiyepitisha mswaki ..... Ndio maana tunashauriwa tubrush meno tukimaliza kula
 
Te te te..baadhi ya nchi ambazo kuna baridi watu nasikia wanaoga mara mbili kwa wiki...katika harakati za ku save kulipa bili za gesi...

Sasa ukitumia public transport utakomaje...

Well mimi sijawahi kutana na hizi harufu...but nimesikia hili sana....ni sawa na kupishana na homeless

Nimeishi huko kwao mkuu miaka mingi tu kiasi cha kutambua kuwa huo utetezi wa gharama za malipo ya gesi ni uongo tu, mbona mimi niliweza kupay bills bila kikwazo hicho...

Ndani ya mwaka mzima msimu wa baridi huwa ni miezi mitatu hadi minne, lakini unakuta mtu ana uvundo karibu mwaka mzima...

Halafu usiombe ukutane na hao watu nyakati zile za summer...yeleuwiiii unaweza ukamuomba Mungu asimamishe mshale wa pumzi ili walau usiwe unavuta hewa...

Can you imagine unaingia sehemu kama mall au airport unakutana na hewa iliyojaa uvundo, yaani ni kama hewa yote ya oksijeni imetekwa na harufu ya uvundo wa miili yao...

Sasa hiyo tisa, kumi ni pale anapokusogelea ili afanye nawe mazungumzo...arrrgggghhh mdomo unatoa harufu ya ajabu ajabu yenye kuchanganyika na mabaki ya chakula yaliyooza maana hawa jamaa huwa hawana udamaduni wa kupiga mswaki mara kwa mara halafu ni wavutaji wakubwa wa sigara...

Ngoja tu nisiandike mengi...ila hawana cha kujitetea
 
Ushawahi panda daladala wewe?

Au ushawahi kwenda magengeni kununua bidhaa za kupikia?

Hiyo ya kuoga mara mbili kwa wiki kisa kuogopa bill itakuwa exaggeration tu.

Bottom line ni usafi wa mtu tu.
 
Katika nchi zote nilizowahi kuishi naweza kusema Marekani na Uingereza kwa kiasi kikubwa watu wake wanajali sana usafi wa mwili na ni nadra sana kukutana na mtu ananuka kikwapa.
 
Watanzania wengi wasafi..ukiondoa makonda...lakini wazungu...mmmmnnnnhhhhhh.....ni watu wa kupiga passport...wenyewe wanasema wanaji sponji....

Ushawahi panda daladala wewe?

Au ushawahi kwenda magengeni kununua bidhaa za kupikia?

Hiyo ya kuoga mara mbili kwa wiki kisa kuogopa bill itakuwa exaggeration tu.

Bottom line ni usafi wa mtu tu.
 
Watanzania wengi wasafi..ukiondoa makonda...lakini wazungu...mmmmnnnnhhhhhh.....ni watu wa kupiga passport...wenyewe wanasema wanaji sponji....

Hmm...sijui unazungumzia Watanzania wa wapi lakini wale ambao huwa napishana nao mtaani, kwenye madaladala, na kwingineko vikwapa huwa navisikia sana tu.

Na kwenye madaladala siongelei makonda. Naongelea abiria. Na nadhani kama mtu unaliangalia hili swala objectively basi utaona kwamba ikija kwenye mambo ya usafi wa mwili kwa kiasi kikubwa Watanzania bado sana.

Na hata hao wazungu hata sijui unazungumzia wazungu wa wapi tu. Wa Bosnia labda? Au race yote ya wazungu kuanzia Finland mpaka Greece?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom