Kwangu harufu ilikua ni kigezo namba moja

Kwangu harufu ilikua ni kigezo namba moja

.............Nilikuwa natafuta nione swali hili la umri wa mtoto wako umejibuje maana nilihisi ni wife wangu ila kid wetu hana umri huo.

hahahhaha usinambie wife wako anachukia hiyo kitu kama mie?eeh ningekua mie ungenifanyeje sasa?
 
hahahhaha usinambie wife wako anachukia hiyo kitu kama mie?eeh ningekua mie ungenifanyeje sasa?
.......Najua huwa anaingia humu kusoma soma baadhi ya vitu. Yeye hachukii harufu ya mdomo peke yake bali hapendi uchafu kwa ujumla. Ungekuwa wewe nisingefanya kitu ila ningekuwa nimejifunza baadhi ya vitu kuhusu yeye ambavyo nilikuwa sivifahamu aha ha ha ha!!
 
kwani mtoto wenu ana umri gani eti?
 
Kumbe yule kimada wako anaharufu mbaya ndio maana umekuja huku kutoa semina eeeh, kama sio hivyo wewe umeolewa kwanini unafuatilia mambo mengine yasiyo kuhusu?.
 
Kumbe yule kimada wako anaharufu mbaya ndio maana umekuja huku kutoa semina eeeh, kama sio hivyo wewe umeolewa kwanini unafuatilia mambo mengine yasiyo kuhusu?.

soma vizuri habari na kichwa chenyewe utaelewa umejimix mkuu bado hujapata pointi yangu,,
 
Salaam kwenu wana jamvi.

Kipindi hichoo nilivyokua bado kabinti hata sijajua kuvunja amri ile iloyokatazwa mpaka ndoa, kiukweli kigezo changu kikubwa angalau kunifanya nivutiwe na mwanaume ilikuwa na harufu nzuri mdomoni, yaani nilikuwa kama mjinga nitajitahidi niwezavyo mpaka nisikie mdomoni ananukia vizuri ama ananuka.

Yaani ikiwa atakuwa anaharufu mbaya basi hata asinisogelee,hiyo kitu imeendelea kwangu mpaka hata mume wangu enzi hivo ananifukuzia nilifanya jitahada mpaaka nikaskia anavyosmel.

Yeye hicho kigezo alikifaulu ndo maana mpaka sasa ni my husband na tuna mtoto mmoja mrembo na tunampenda sana, yaani kiukweli mpaka leo mtu yoyote awe mwanaume ama mwanamke nikishaskia harufu mbaya mdomoni huwa nakereka sana.

Tujitahidi sana kulipunguza hili tatizo kwa wenye nalo, najua wengi linawakera, mnisamehe niliowagusa.

safi madam g mm npo tofauti u smart wa mtu unaanzia mdomoni na si mavazi mm kila baada ya mlo naswaki....kuna watu wananuka midomo kama mashimo ya choo ni kero sana
 
Wewe hutofautiani nami japo mimi ni mwanamme.

Nakerwa sana na harufu mbaya mdomoni na makwapani whether kwa mwanaume au mwanamke.

Sometimes huwa nahofia kujua harufu ya mtu mdomoni kwake hususani ikiwa mbaya, sababu nikiisikia huwa namuonaje sijui!
 
Usinambie hakuna alokutusuaga b4 mumeo...wote walikuwa wananuka midomo nn
 
Leo ndio nasikia mara ya kwanza kuwa mdomo una harufu nzuri...

Najua kuna wanaonuka midomo yes...

Lakini harufu nzuri inatoka wapi...natural, mouth wash au ametoka kula bigjiii au pilau?

Ma dentist tusaidieni jameni...isije kuwa ni hisia tu

Kwa uelewa wangu mdomo unabaki na harufu ya ulichokula au dawa ulotumia kuusafisha au unakuwa smellless kama hujala kitu...

Na wanuka midomo sidhani kama ni wengi kihiiivyo...

una harufu nzuri ya mdomo......i miss it....🙂
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!!! Hahahahahaha Mzima PIC? I think he is no longer in jail.

He is good at that I must admit. Hahaaa. How did he stir up trouble while in jail and for how long will he be away?
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi lol!!!!! Hahahahahaha Mzima PIC? I think he is no longer in jail.

Oh yeah? Lol.Well good for him.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
ndio hasa wanaume mtu anaongea let say mko kwenye gari yaan harufu mbaya unahis kutapika.afu unakuta eti nae an gf????? mmmm sipatagi picha.

Kwa hiyo yeye hana haki ya kupenda na kupendwa cyo? unataka kutuambia hakuna wanawake wenye midomo inayonuka na vikwapa juu? mbaya zaidi wasichana wengine maeneo yao ya kigambon ni taabu, kama hujampenda unasepa kimyakimya
 
Mie kigezo ni harufu ya tundu nyaa yaani nikisikia pananukia vzr basi unakuwa wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom