Kama ananukia tu mdomoni afu ana kikwapa twende kazi au?
Poor Ma.He is a natural troublemaker. Mom says when we were still in her womb one of us used to throw kicks so much that she got awfully concerned.
Some nutcase wanted to make a name for himself and got mouthy with him and he clocked him right on the kisser.
But he's got a hearing today and hopefully he'll be home before the weekend is over because the whole thing was caught on surveillance camera and he ain't the one who started it.
umeona hapo tu
Aibu naona mie
Kama ananukia tu mdomoni afu ana kikwapa twende kazi au?
Leo ndio nasikia mara ya kwanza kuwa mdomo una harufu nzuri...
Najua kuna wanaonuka midomo yes...
Lakini harufu nzuri inatoka wapi...natural, mouth wash au ametoka kula bigjiii au pilau?
Ma dentist tusaidieni jameni...isije kuwa ni hisia tu
Kwa uelewa wangu mdomo unabaki na harufu ya ulichokula au dawa ulotumia kuusafisha au unakuwa smellless kama hujala kitu...
Na wanuka midomo sidhani kama ni wengi kihiiivyo...
big noooooooo,my husbund ni noumaaaaa,hakuna wa kumshinda aisee yule baba ni msafi sana hiyo sekta mana mwenyewe anajua pua zangu ni sinsitive sanaa,,,
Eve utafeli mtihani
Ushaambiwa mdomoni tu....
Halafu, hivi mtu unanusaje harufu ya mdomo wa mwingine?
If anything I always try not to smell people's odor of any kind by holding my breath because if there is something I can't stand, then foul odor is at the top of the list.
Hakuna wa kumshinda??!!!na wangu ni msafi sana na nahisi kamshinda wako lol....big noooooooo,my husbund ni noumaaaaa,hakuna wa kumshinda aisee yule baba ni msafi sana hiyo sekta mana mwenyewe anajua pua zangu ni sinsitive sanaa,,,
Leo ndio nasikia mara ya kwanza kuwa mdomo una harufu nzuri...
Najua kuna wanaonuka midomo yes...
Lakini harufu nzuri inatoka wapi...natural, mouth wash au ametoka kula bigjiii au pilau?
Ma dentist tusaidieni jameni...isije kuwa ni hisia tu
Kwa uelewa wangu mdomo unabaki na harufu ya ulichokula au dawa ulotumia kuusafisha au unakuwa smellless kama hujala kitu...
Na wanuka midomo sidhani kama ni wengi kihiiivyo...
big noooooooo,my husbund ni noumaaaaa,hakuna wa kumshinda aisee yule baba ni msafi sana hiyo sekta mana mwenyewe anajua pua zangu ni sinsitive sanaa,,,
wewe wapi kunatema sana ?
ha ha ha kwa wale wanaoswaki wakiwa na kidate tu hapa wameula
wewe wapi kunatema sana ?
Hakuna wa kumshinda??!!!na wangu ni msafi sana na nahisi kamshinda wako lol....