Kwangu harufu ilikua ni kigezo namba moja

Mimi nina utundu wa kijifunza culture za mataifa mbali mbali...

Kuna watu ni tabia mbaya kumsogelea mtu...unatoa mkono ukiwa ume maintain certain distance...

Sasa sijui angenusaje...

Hata Tz hatuna tabia ya kumsogelea mtu sana wakati wa salamu...hiyo tabia wanayo Latin Americans sababu wana hug...

Sasa mwenzetu sijui zoezi hili analiendeshaje?

Sipendi kurundika rundika watu kwenye mafungu lakini kama wewe ni mwenda gym basi uwe unakaa mbali na Wahindi aisee.

Wale jamaa sijui ndo utamaduni wao kutopaka viondoa harufu (deodorant)....

Sasa na zile curry wanazokula wakitokwa jasho huwa ni balaa.

Binafsi sijui nina bahati mbaya au vipi....

Kuna wakati nilipanda ndege ya Emirates daraja la coach na seat mate wangu akiwa Mhindi.

Ebwana mbona nilikoma siku hiyo. Sijawahi kuwa na safari ndefu kama ile.

Jamaa kikwapa chake kilikuwa kinatema balaa. Halafu kila baada ya masaa kadhaa alikuwa ananyanyua mikono yake na ku stretch.

Sijawahi kuteseka maishani kama siku hiyo.

Nikiwa gym kila nikiona Mhindi anakuja nilipo naondoka. Jamaa huwa wananukisha gym kinoma.
 
Mmmmhhh kuna watu wananuka midomo nadhani ni ugonjwa ila wakipata matibabu wanakuwa vizuri ......
Mleta uzi hapa anamaanisha mdomo unaonukia vizuri sio smell ya pilau mdomoni au ya maharage au sio Madam G

Ingawa kuna magonjwa yanayoweza sababisha mtu akawa anatoa harufu mbaya mdomoni lakini mimi nina amini kwamba idadi kubwa ya watu hawajui tu namna ya kusafisha vinywa vyao.

Nasema hivyo kwa sababu hata wewe hapo ulipo ukijaribu kuuliza waliokuzunguka kama huwa wana floss meno yao au kama huwa wanakwangua ndimi zao uwezekano wa kupewa jibu la hapana ni mkubwa sana.

Na kukwangua ulimi kwa kikwangua ulimi ni tofauti na kubrashi ulimi kwa kutumia mswaki.
 
mhh ukute yeye anaona kawaida sasa afu ndo anapenda mate utajutra mwanamke
 
kwani huyo mumeo akiamka asubuhi au saa kumi usiku akitaka gemu ananukiaje mdomo? au akinywa pombe ananukiaje mdomo?
 
Nachofurahia wangu hanywi pombe wala kuvuta sigara yaan ni kudendeka usiku kucha hadi asubuhiii,,,,,wanywaji wa pombe hua wananuka jamaniii
 
Ingawa kuna magonjwa yanayoweza sababisha mtu akawa anatoa harufu mbaya mdomoni lakini mimi nina amini kwamba idadi kubwa ya watu hawajui tu namna ya kusafisha vinywa vyao.

Nasema hivyo kwa sababu hata wewe hapo ulipo ukijaribu kuuliza waliokuzunguka kama huwa wana floss meno yao au kama huwa wanakwangua ndimi zao uwezekano wa kupewa jibu la hapana ni mkubwa sana.

Na kukwangua ulimi kwa kikwangua ulimi ni tofauti na kubrashi ulimi kwa kutumia mswaki.

dahh yani kama ni ugonjwa ndo balaa bora iwe ni uchafu,ntaweza kumsaidia
 
don't call me a racist...

hapa duniani sijawahi kukutana na watu wanaonuka kila mahali mwilini mwao kama WACHINA...

damnnnnn!!!!
 
Sipendi kurundika rundika watu kwenye mafungu lakini kama wewe ni mwenda gym basi uwe unakaa mbali na Wahindi aisee.

Wale jamaa sijui ndo utamaduni wao kutopaka viondoa harufu (deodorant)....

Sasa na zile curry wanazokula wakitokwa jasho huwa ni balaa.

Binafsi sijui nina bahati mbaya au vipi....

Kuna wakati nilipanda ndege ya Emirates daraja la coach na seat mate wangu akiwa Mhindi.

Ebwana mbona nilikoma siku hiyo. Sijawahi kuwa na safari ndefu kama ile.

Jamaa kikwapa chake kilikuwa kinatema balaa. Halafu kila baada ya masaa kadhaa alikuwa ananyanyua mikono yake na ku stretch.

Sijawahi kuteseka maishani kama siku hiyo.

Nikiwa gym kila nikiona Mhindi anakuja nilipo naondoka. Jamaa huwa wananukisha gym kinoma.

hahaha pole sana mkuu,yani unaweza juta kabisaaa ukikutana na hizo ajali,mie wakati nasoma nilikua na mate mmoja mdada alikua yuko vizuri sna kichwani sasa wakati wa discusion ni hataree akianza kuelezea kila mtu anasogeza kichwa pembeni kwa ile smeli mbaya ya mdomo dah tuliteseka kwakweli,ila yule ilikua ni uchafu maana meno kama jezi za yanga njanoo
 
don't call me a racist...

hapa duniani sijawahi kukutana na watu wanaonuka kila mahali mwilini mwao kama WACHINA...

damnnnnn!!!!

Te te te..baadhi ya nchi ambazo kuna baridi watu nasikia wanaoga mara mbili kwa wiki...katika harakati za ku save kulipa bili za gesi...

Sasa ukitumia public transport utakomaje...

Well mimi sijawahi kutana na hizi harufu...but nimesikia hili sana....ni sawa na kupishana na homeless
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom