Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,450
- 799
Kwamoto huu wa CCM Jimbo la Ushetu-Kahama Chadema mlikuwa sahihi kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "
"Hakuna kama Samia "
Sitaki kuongeza neno,hebu fungua mwenyewe hiyo video ili uone mafuriko ya maelfu ya watu huko Ushetu ikiwa ni siku ya Kuhitimisha kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Ushetu,ili kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe Elias John Kuandikwa ( Mb )
Uchaguzi huo mdogo utafanyika Tarehe 09|10|2021 Ukiwahusisha wagombea wawili shindani toka vyama vya vikuu vya CCM na ACT Wazalendo ikiwa ni baada ya Chadema kususia Uchaguzi huo kwa kisingizio cha Ukata,
#Chagua Emmanuel Cherehani kwa Maendeleo ya Jimbo la Ushetu,