Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "

Umezunguuka wee kuyatafuta matusi mapya na kulipata hilo?!!

Umekuja na hilo "ninatafuta basha"?!! Ha ha ha Kwa hiyo umeliona ndio tusi jipyaaa kwa hasimu wako si ndio eee?!!

Endelea na matusi mengine....nitafutie yale mapyamapya yaliyoundwa huko mitaani asubuhi ya leo....nasubiri mkuu
Mbona unateseka sana bibie?
 
Mbona unateseka sana bibie?
Unayeteseka ni wewe kwa kushindwa kujibu hoja zenye akili ukafumbata MATUSI....

Huionei aibu nafsi yako kwa matusi hayo?!!

Hukulelewa vyema ?!!

Kwani sote sisi tumetoka hukohuko uswazi uswekeni....ila tunazionea aibu nafsi zetu kutukana kama vile tuwagonjwa wa Lutindi....🤣

Endelea na misamiati ya matusi...nitafutie ile mipyamipya kabisa ambayo haijafikisha hata siku 2 huko uswazi.....🤣
 
Unayeteseka ni wewe kwa kushindwa kujibu hoja zenye akili ukafumbata MATUSI....

Huionei aibu nafsi yako kwa matusi hayo?!!

Hukulelewa vyema ?!!

Kwani sote sisi tumetoka hukohuko uswazi uswekeni....ila tunazionea aibu nafsi zetu kutukana kama vile tuwagonjwa wa Lutindi....

Endelea na misamiati ya matusi...nitafutie ile mipyamipya kabisa ambayo haijafikisha hata siku 2 huko uswazi.....
Wewe unatafuta bwana kwa nguvu.
 
Wewe unatafuta bwana kwa nguvu.
Duuh kweli wewe ni "psychopath"..🤣

Unarudiarudia maneno hayohayo kila baada ya sekunde moja....are you deluded?!! 🤣🤣

Nasubiri uniquote tena mstari huohuo uliouandika hapo juu....

Endelea nasubiri mkuu ...
 
Duuh kweli wewe ni "psychopath"..

Unarudiarudia maneno hayohayo kila baada ya sekunde moja....are you deluded?!!

Nasubiri uniquote tena mstari huohuo uliouandika hapo juu....

Endelea nasubiri mkuu ...
Sitaki mashoga mimi nina mke achana na mimi kabisa,naona unanifuatilia hadi jukwaa la Sports,wewe vipi mumeo hakufikishi summit?
 
Sitaki mashoga mimi nina mke achana na mimi kabisa,naona unanifuatilia hadi jukwaa la Sports,wewe vipi mumeo hakufikishi summit?
🤣🤣Unajitengenezea taswira KICHWANI na kutaka kulazimisha wengine waiamini....

Inawezekana umeamua kutumia matusi hapa JF kwa kuwafanya wengine "punching bag" kupunguza msongo wa mawazo....

Haya najitolea kuwa "punching bag" lako.....endelea kunipiga usoni...endelea "stress zitoke"....endelea mkuu fanya haraka...🤣🤣🤣🤣
 

Kwamoto huu wa CCM Jimbo la Ushetu-Kahama Chadema mlikuwa sahihi kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "​

"Hakuna kama Samia "​


Sitaki kuongeza neno,hebu fungua mwenyewe hiyo video ili uone mafuriko ya maelfu ya watu huko Ushetu ikiwa ni siku ya Kuhitimisha kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Ushetu,ili kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe Elias John Kuandikwa ( Mb )

Uchaguzi huo mdogo utafanyika Tarehe 09|10|2021 Ukiwahusisha wagombea wawili shindani toka vyama vya vikuu vya CCM na ACT Wazalendo ikiwa ni baada ya Chadema kususia Uchaguzi huo kwa kisingizio cha Ukata,


#Chagua Emmanuel Cherehani kwa Maendeleo ya Jimbo la Ushetu,

View attachment 1968408
Weka tume huru halafu ujitape ..huu ni ujinga. . unachagua timu, unachagua refa na unamuonya nakupa gari nakupa mshahara ole wako wapinzani washinde. Mtakuwa na mtindio wa ubongo
 
Hakuna sehemu yoyote nimekutukana bali nimetoa wasifu wako.
Unautoaje wasifu wangu ilihali HUNIJUI....

HUNIFAHAMU....

Kweli huo wasifu utakuwa una MAPUNGUFU mno.....


Inasemekana "vichaa" huwa wanawajua sana watu zaidi ya wanavyojijua wenyewe 🤣🤣
 
Unautoaje wasifu wangu ilihali HUNIJUI?!!

HUNIFAHAMU?!!

Kweli huo wasifu utakuwa una MAPUNGUFU mno.....


Inasemekana "vichaa" huwa wanawajua sana watu zaidi ya wanavyojijua wenyewe
Siyo lazima nikujue kwa kukuona,vitabia vyako vya humu jukwaani vinatosha kukujua.
 
Back
Top Bottom