Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "


Kama kweli hao wakijan wanakubalika hebu tuwe na tume huru ya uchaguzi hapo ndo tutajua ukweli wa hayo mafuriko
 
CCM ni habari nyingine na Hakuna kama Samia
 
Siku CCM mkiacha kubebwa na vyombo vya ulinzi na Usalama na kushinda nitajuà kweli mnapendwa na wananchi!
 
Hujataja na Polisi wenu, na genge la watekaji
 
CCM CCM CCM !Muone aibu baasi.Hiyo nyomi unayo isema umelinganisha na nani?CHADEMA imejitoa mnafanya kampeni za nini?Mnaharibu resources bure uchaguzi tumeshawaachijia mnahangaika tena na CHADEMA ya nini?

Ni hivi CHADEMA hatutaki uchaguzi wowote ,fanyeni yote mnayotaka.

Kampeni mko mpekee yenu halafu mnaita huo ni uchaguzi unashindana na nani
 
Sasa washindane na polcccm, kwani hawaishi maigizo
 
Umew
Umewasahau wadau /washikadau muhimu, polccm, neck/shingo,karani wa viama/chungu kumesa achana na timu kijani inayoicheza ngoma yenyewe, hapo Kuna nini, uwanja sawia uko wapi? Au kujazana upepo tuu?
Polis wetu ni bora sana duniani
 
K


Kwani nani kawazuia kuja kushiriki, Chadema hamna hela tunajua
Hatutaki uchaguzi huo.Hatutaki dhuruma hizo.Hatuna hela ndiyo ,chama kimeshakufa ndiyo.Endelea na maisha yako .CHADEMA hayupo kwenye uchaguzi kinacho kuuma ni kipi ,mpinzani wako ni ACT zungumza kuhusu huyo.

Kila saa CHADEMA CHADEMA !Kafie mbele Malaya wa kisiasa
 
Tumeccm, polisiccm hapo hakuna uchaguzi ni upuuzi kushiriki uchaguzi kwa mazingira ya kihuni hivi wote mtaonekana wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…