Kwamba kila baada ya saa moja nimpigie simu...

Kwamba kila baada ya saa moja nimpigie simu...

Acha ziexpire... Mpigie asubuhi.. mchana jioni....au Kama kunadharura au kitu Cha muhimu..
Sio unapiga simu Kama upo nyumbani washa blender... Gonganisha vijiko[emoji849][emoji849][emoji849].
sio bure unahitaji mwana saikolojia wewe
 
kwanza calls za kila mda ndo mwanzo wakugombana sababu hakuna cha kuongea atauliza upo wap mbona nasikia wadada wadada umeanza an fujo ili uanze kubembeleza ukikata mgogolo
akikuta sim ipo bizee anaanza teena
huo ni utoto unasumbua bila hvyo ataruka ataona humpendi humpi mda wako
mpenzi [emoji706]
 
Back
Top Bottom