Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Kila baada ya lisaa kama vile taarifa ya habari ya BBC![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Gonganisha vijiko umeua mkuu [emoji119]Acha ziexpire... Mpigie asubuhi.. mchana jioni....au Kama kunadharura au kitu Cha muhimu..
Sio unapiga simu Kama upo nyumbani washa blender... Gonganisha vijiko[emoji849][emoji849][emoji849].
Kila ukiwa unampigia uwe unamwambia 'ila baby una sauti nzuri, kama mbuzi vile'. Fanya hivyo kwa wiki tatu mfululizo kisha ulete mrejesho.
Hana kazi ya kufanyaBora wewe,
huku kuna mmoja yeye ni kesi kabisa simu inapigwa saa 8 usiku yaani nikiamka nakuta missed call 4 sasa sijui SAA mbovu hii
Hahaha mkuu mbona unashangaa?
Watu kama ninyi mbona sikutani naoTutaftane asubhi
Then mchana
Alafu usku pia Ni muhimu kwa afya ya mahusiano
[emoji23][emoji23]umenikumbusha enzi za ujana. Usiku kuongea bure story haziishi mpaka kunakaribia kukucha na kesho yake mnaendelea tena. Kweli penzi jipya si mchezo. Mimi hata siwashangai huyu na mpenzi wakeMapenzi yakiwa mapya mbona hata utatamani umiliki minara ya simu.
Nn kupigiwa kila saa.
Bwaaaana weee[emoji23][emoji23]umenikumbusha enzi za ujana. Usiku kuongea bure story haziishi mpaka kunakaribia kukucha na kesho yake mnaendelea tena. Kweli penzi jipya si mchezo. Mimi hata siwashangai huyu na mpenzi wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwaaaana weee
Zile text 100 zinaishaaa.
Mambo ya kaataaaa weeewe.
Ahahahhahahahha
Time flies wallahi
[emoji16][emoji16][emoji16]ongeza jitihada mkuu tupoWatu kama ninyi mbona sikutani nao