TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,767
- 20,870
6. Hana shughuli ya kufanya.1. Anataka kukucontrol saaana.
2. Anakupenda sana.
3. Hataki akukose, alishawai kuachwa kwa style hiyo.
4. Wewe ni first love kwake.
5. Anataka ndoa.
Niliwahi kuwa na demu mmoja alikua amemaliza chuo hana kazi yupo tu home. Aisee alikua anasumbua balaa yaani kila dakika anataka kuchati, kupigiana simu, mara video call... nikapiga chini.