moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,354
- 5,031
Tena Sana,Kila mmoja anakuwa na ham na mwenziena mambo yanaenda vizuri au sio!!
Tena Sana,Kila mmoja anakuwa na ham na mwenziena mambo yanaenda vizuri au sio!!
Huyo wako ana dalili za umbea au hana la kufanya maishaniWanasema ili kuimarisha mahusiano ni vizuri kuwe na mawasiliano mazuri kati ya pande zote mbili yaani me na ke....
Huyu wangu kazidi sasa, au mimi ndiye sielewi mambo yanavyoenda... Kwamba kila baada ya saa moja nimpigie simu... Ilikua kama nzuri mwanzo, ila sasa inakera...
Wenzangu mnawezaje kuhandle ratiba za hivi?
Ni wote wako hivi, au hii ni spesho kesi kwangu??
"Mpenzi wangu naona lisaa moja ni kubwa sana naomba niwe nakupigia kila baada ya dk10" fanya nilichoandika hapo kwa week moja,,UPUMBAVU WAKE UTAMTOKA SHE--- NZIWanasema ili kuimarisha mahusiano ni vizuri kuwe na mawasiliano mazuri kati ya pande zote mbili yaani me na ke....
Huyu wangu kazidi sasa, au mimi ndiye sielewi mambo yanavyoenda... Kwamba kila baada ya saa moja nimpigie simu... Ilikua kama nzuri mwanzo, ila sasa inakera...
Wenzangu mnawezaje kuhandle ratiba za hivi?
Ni wote wako hivi, au hii ni spesho kesi kwangu??
Hiyo ya 5 ikae pale 1,halafu 1 iende 21. Anataka kukucontrol saaana.
2. Anakupenda sana.
3. Hataki akukose, alishawai kuachwa kwa style hiyo.
4. Wewe ni first love kwake.
5. Anataka ndoa.
vizuri watu tunatafuta hizo chance alafu wewe unaziletea mchezoTayari, tayari boss [emoji23]
Duhvizuri watu tunatafuta hizo chance alafu wewe unaziletea mchezo