Kwako Tundu Lissu kuhusu suala la Lugha

Tundu Lisu hajatetea lugha ya Kiingereza popote ila alichosema ni kwamba watanzania wengi hatujui kiingereza na pia hatujui kiswahili. Kwahiyo hakuna lugha tunayoijua kwa ufasaha. Alitoa mfano wa majaji kukazia hoja.
Mwisho alisema lazima uwepo mjadala wa Sera ya Lugha.
Upuuzi mtupu wa huyo mgombea wenu..ana akili ambazo kila mtu anamshangaa jinsi anavyowaza..sijui utoto au ushamba...hivi utasemaje Tanzania hatujui kiswahili...kwani anataka kiswahili Cha mashindano ama kile Cha mawasiliano tu.ambacho kinarahisisha biashara, kubadilishana mawazo, n.k. Watu kuelewana wwnachofanya..huyo jamaa amekuwa limbukeni maskini Wala hajui anachofanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom