Lucas mwashamba
Member
- Jul 30, 2025
- 97
- 324
Mi ni mtanzania, mpenda nchi yanguHatimaye tumegundua ww ni nani kujificha nyuma ya fake ID!
Ukombozi unatufikia punde tu raisi wetu kipenzi atatoka gerezaniDaah sijui Kwanini makamba kapoteza mvuto ghafla now days ......
Zamani January makamba alikuwa na mvuto wa pekee Hadi akaitwa presidential material
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hela alizokula kwa jina la CCM hata hutakaa uziote ukitoboa sana udiwana mshahara ni 350,000 wenzako wamesafisha mabillioni kwa kupitia jina la jamhuriNimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME mana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
takataka, unapenda nchi inauzwa kwa waarabu. TakatakaMi ni mtanzania, mpenda nchi yangu
Usiwaze tuko njiani kupata uhuru wetuHela alizokula kwa jina la CCM hata hutakaa uziote ukitoboa sana udiwana mshahara ni 350,000 wenzako wamesafisha mabillioni kwa kupitia jina la jamhuri
Mwambie afanye verification tick.Lucas Mwashambwa
Watu mnapenda kucopy vya watu hata sio sawa.
Moderator hii sio sawa nasimama na shemegi angu chawa mwandamizi Lucas
Hapana jamani nimetubutakataka, unapenda nchi inauzwa kwa waarabu. Takataka
Namkalibisha VETA jamani ufundi UMEME majumbani unalipaKuwa na akiba ya maneno we dogo maana uyo ni mwanasiasa na anaweza kuja kiongozi mwingine akapewa cheo kikubwa tu
Ndugu yangu mi mkongwe humu hakuna asiye nifahamuJoined today,na umeanza majungu!
Sijapenda kabisa walichokifanya Moderator na sijajua kwanini wameruhusu jambo hili kumpatia mtu ID inayofanana na mimi isipokuwa kwa herufi moja tu. Hii siyo sawa na siyo haki hata kidogo.Lucas Mwashambwa
Watu mnapenda kucopy vya watu hata sio sawa.
Moderator hii sio sawa nasimama na shemegi angu chawa mwandamizi Lucas
Hawa ni watu wawili tofauti mkuu hata kisheria inaeleweka hivyo.Lucas Mwashambwa
Watu mnapenda kucopy vya watu hata sio sawa.
Moderator hii sio sawa nasimama na shemegi angu chawa mwandamizi Lucas
Verify account yako iwe na tickSijapenda kabisa walichokifanya Moderator na sijajua kwanini wameruhusu jambo hili kumpatia mtu ID inayofanana na mimi isipokuwa kwa herufi moja tu. Hii siyo sawa na siyo haki hata kidogo.