Kwako mpendwa Catherine

Kwako mpendwa Catherine

Midomo Zege Huwa inazingua kweli.
Kwa kuandika sasa?ungempa hilo somo huyo binti si mngemalizana kitambo
 
Mkuu sikutaja kwa nia mbaya,ujue akina Catherine ni wengi,ko nilitaja sifa specific kama yupo humu ajijue.....
Kijana utakuja kukosa vya thamani. Sio kila mtu anapenda mapenzi ya wazi kiasi hicho.
Huenda asikutafute kabisa, wewe unamtaja kabisa " Tatoo ya jina catherine na ni Dr bugando" . Hivi hata kama alitaka kukufanya kidumu ataweza? Mtoto wa kiume huna siri kabisa. Hapakuwa na umuhimu kutaja ofisi yake na tatoo yake!
SAHAU HATOKUTAFUTA LABDA AWE MALAYA
 
Hadi muda huu huyu mrembo alouteka moyo wangu hajanitafuta wala nini,
Ko nimeamua kwamba jumapili nitasali kuanzia misa ya kwanza,asipooneka nitasubiri na misa zinazofuata hadi nimpate,
Asipooneka nitaanza msako kwasababu nina a little details kumhusu,maombi yenu wana MMU.
 
Hadi muda huu huyu mrembo alouteka moyo wangu hajanitafuta wala nini,
Ko nimeamua kwamba jumapili nitasali kuanzia misa ya kwanza,asipooneka nitasubiri na misa zinazofuata hadi nimpate,
Asipooneka nitaanza msako kwasababu nina a little details kumhusu,maombi yenu wana MMU.
Sawa mkuu sisi tuko pamoja nawe kukutakia kila la kheri umpate mrembo wako Catherine huenda ndo akawa chaguo lako.
 
Daktari wa magonjwa ya binadamu anatatoo? Huyo kakuingiza mkenge
Nipo hapa ninaangalia kioo cha simu yangu muda wote,nione kama kuna walau sms mpya ama incoming call mpya..
Wallah leo ilkua ni siku njema sana kwangu baada ya kuonana nawewe mrembo mwenye kila sifa ya kuitwa mrembo...
Tumekutana misa ya asubuh kanisani leo,nikakuomba namba ya simu,kwa bahati mbaya sana simu yangu ikawa imezima ko nkakupa yangu,ukaniahidi utanipigia na niwe mwenyeji wako kwa leo maana wewe ni mgeni hapa,
Kiukweli nimehisi kitu tofauti sana,hizi hisia sijazipata kwa muda mrefu sasa....i think am falling in love with you'
Nipigie tafadhali najua upo humu,hukunambia jina lako lakini nimeona una tattoo ya jina 'catherine' kwenye mkono wako wenye rangi adimu...
Umenambia wewe ni daktari pale hosptali ya bugando...
Naongea nawewe dada ulokua kanisani leo misa ya asubuhi,ulkua na Toyota hilux...
Am waiting for your call we mrembo,nishajicock kwa mtoko wa usiku leo,all bills on meh....
Timiza ahadi tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom