Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
Mkuu ulishindwa nini kuchua simu yake na kujitumia text kwenye simi yako? Hata yeye kakuona mzembe sana.Hadi muda huu huyu mrembo alouteka moyo wangu hajanitafuta wala nini,
Ko nimeamua kwamba jumapili nitasali kuanzia misa ya kwanza,asipooneka nitasubiri na misa zinazofuata hadi nimpate,
Asipooneka nitaanza msako kwasababu nina a little details kumhusu,maombi yenu wana MMU.