Wingi wanasema lema hajafanya kitu tangu achaguliwe lakini wanaosema hivyo kwakuwa nao ni wabunge kama lema hawatuambii wao wamefanya nini tangu wachaguliwe sasa ukiacha maneno hayo ya wapinzani sisi tulioko ar tunajua lema amefanya nini kwanza lema ni mtu wa watu , lema hana rika , lema ni mtoto wa kijiweni hizi sifa tatu tu zinatosha kumfanya lema apendwe na watu maana ccm wao ukuwa mbunge unakuwa muheshimiwa mtu wa kupigiwa magoti na wakutafutwa maana wabunge wa ccm makazi yao ni dar isitishe lema amewasaidia sana watu wa ar kujua elimu ya uraiya hivyo kujua haki zao tofauti na ccm wao wanajua mtu akijua hakizake inakuwa vigumu kumtawala pia naweza kusema katika kipindi cha lema ndipo arusha imekuwa jiji pia barabara zote za ar kuwa za lami hii ni kazi kubwa sana . Najua wapo watakao sema ar kuwa jiji au barabara kuwa na lami ni ccm ndo wako madarakani hivyo wao ndo wamefanya hayo tunajua wao ndo wamefanya lakini kwa shinikizo la mbunge maana kama ni ccm mbona ilikuwepo miaka yote hamsini na jimbo likiongozwa na wao mbona hawakufanya haya?? Kama niccm mbona hadi leo kule kilimanjaro karibu majimbio yote yanayoongozwa na upinzani barabara zao zinakarabatiwa na kuwekwa lami lakini yale yanayoongozwa na ccmhayafanyiwi hivyo? Mfano jimbo la moshi vijijini kwa sirili cham kuna barabara moja inaelekea uru kishimundu hii iliwekwa lami enzi ya mwalimu lakini hadi leo hata fungu la kukarabati tu hiyo lami halijulikani linaishia wapi sasa mniambie kama ccm wanaweza kufanya bila kushinikizwa mbona kwenye majimbo yao hawafanyi??????

Na zile za Kikwete za kila mkoa na kila wilaya vipi zipo tayari?
Kamanda Lema, Mnyika, Lissu na Mbowe ni wabunge wa Kitaifa, hivyo Napenda Kuwashkuru wananch wa majimbo yao kwa kutuletea Wabunge ambao wamekuwa watetez wa watz wote.
lema umeona upepo unaelekea kubaya mwaka 2015 huna chako unaanza kuja na id feke kujibu ulivyoshindwa kuwatumikia wananchi .uliahidi na umeshindwa kufanya kaa kimya
mnyika na lissu sawa ila mbowe na mwenzie lema biiig NO! umewapaisha tu lakini kiuhalisia hawana cha maana wakifanyacho si kwa nchi wala majimbo yao!!
by the way nimewahi kupita rundugai jimboni kwa mbowe, kwa kwel hali ya shule huko ni majanga - yaani mbowe kwa huu uwezo wake tunaoelezwa ameshindwa hata kujenga madarasa ma3 kusudi wanafunzi wasisomee chini ya mti??!!
ama kwel wanasiasa wooote ni matapeli tu, si ccm si chadema wote ni wale wale tu, tofauti yao ni kwamba mmoja yuko bench akisubiri fursa wakati mwingine anaitumia fursa yake!!!!!!!!!
mleta mada yupo vizuri,ila wewe sasa yani uccm umekukaa hata akili haifanyi kazi,ila ubarikiwe waweza badilika muda ukifika.Ana shahada ya kuhamasisha maandamano na siyo maendeleo.
Hahaha ....nyie endeleeni kujidanganya hivo hivo. 2015 hata mlete chopa 50 watu hawadanganyiki tena na huyu muhuni
asaivi tutaandamana kuja kukuoa! mana tumemaliza maandamano yote na pia wananchi tumeamu lema hata asifanye kitu hapa ar.lakini tunajivunia ujasiri,kupendana,ndivyo vitu vya msingi ametupa,tena karibu tz nzima,sasa tizama uone elimu aliotupa tunaitumiaje 2015.LEMA hana akili ya kuwasaidia wanna arusha zaidi ya kuwahamasisha kuandamana Leo watu wanalia kama yatima LEMA hana ushirika na viongozi wengine mbona mbowe ametulia jitafakari sana.