Ikiwa wewe ni mhitimu wa "political science" wa chuo kikuu ni kuliombea dua tu taifa hili, tulipo pana afadhali kuliko tunapoelekea.Sina mengi ya kuandika ila ninayo mengi yakunifikirisha na kuomba. Ninachokiomba kwako Mwl.Dr.Bashir Ally Kakulwa na katibu wetu wa CCM Taifa.Nakuomba uwaruhusu wataaluma wa UDSM asa Idara ya Sayansi ya Siasa(Political Science) wafute masomo(course) zote ulizonifundisha nikiwa mwanafunzi wako mwaka 2007 -2010. Najua unakumbuka niliwai kua na mgogoro wa kitaaluma na wewe baada ya kubishana takribani dakika 25 ukiwa unatufundisha kwakua sikuafiki mtazamo wako na mtazamo wa jumla.
Naomba nikomee apa.
Nakuomba sana Mwl.Bashir Ally
Apa lazma utokwe povu bila sababu..Mimi nimeomba kufutwa kwa kozi nilizofundishwa na Mwl.Dr.Bashir Ally basi .Naona aibu sana kua na cheti kilichoandikwa masomo ambayo nimefundishwa na huyu Mwalimu basi.Msomi wa "political science" kutoka Mlimani akiwa na stress usiku wa manane ni hatari tupu....
Faizafoxy ..the legend nakuheshimu sana ila aya ni mambo yangu yenye utashi na ulazma.Ikiwa wewe ni mhitimu wa "political science" wa chuo kikuu ni kuliombea dua tu taifa hili, tulipo pana afadhali kuliko tunapoelekea.
Eeh Allah tujaalie tuepukane na majanga haya ya wanasiasa uchwara.
Sina mengi ya kuandika ila ninayo mengi yakunifikirisha na kuomba. Ninachokiomba kwako Mwl.Dr.Bashir Ally Kakulwa na katibu wetu wa CCM Taifa.Nakuomba uwaruhusu wataaluma wa UDSM asa Idara ya Sayansi ya Siasa(Political Science) wafute masomo(course) zote ulizonifundisha nikiwa mwanafunzi wako mwaka 2007 -2010. Najua unakumbuka niliwai kua na mgogoro wa kitaaluma na wewe baada ya kubishana takribani dakika 25 ukiwa unatufundisha kwakua sikuafiki mtazamo wako na mtazamo wa jumla.
Naomba nikomee apa.
Nakuomba sana Mwl.Bashir Ally
Msomi wa "political science" kutoka Mlimani akiwa na stress usiku wa manane ni hatari tupu....
Kwa ulivyoandika inaonekana hujawahi kusoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama uliwahi kufika Chuo basi ulipita tu, pole sana. Aliyekutuma angekuandikia na huo ujumbe kabisa ili wewe uuweke tu hapa. Na kama hiki ndicho kiwango cha wahitimu wa Chuo Kikuu basi Taifa limepata hasara kubwa sana.Sina mengi ya kuandika ila ninayo mengi yakunifikirisha na kuomba. Ninachokiomba kwako Mwl.Dr.Bashir Ally Kakulwa na katibu wetu wa CCM Taifa.Nakuomba uwaruhusu wataaluma wa UDSM asa Idara ya Sayansi ya Siasa(Political Science) wafute masomo(course) zote ulizonifundisha nikiwa mwanafunzi wako mwaka 2007 -2010. Najua unakumbuka niliwai kua na mgogoro wa kitaaluma na wewe baada ya kubishana takribani dakika 25 ukiwa unatufundisha kwakua sikuafiki mtazamo wako na mtazamo wa jumla.
Naomba nikomee apa.
Nakuomba sana Mwl.Bashir Ally
Uwasilishaji wa hisia zake mbovu. Stress tupu.Kwa ulivyoandika inaonekana hujawahi kusoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama uliwahi kufika Chuo basi ulipita tu, pole sana. Aliyekutuma angekuandikia na huo ujumbe kabisa ili wewe uuweke tu hapa. Na kama hiki ndicho kiwango cha wahitimu wa Chuo Kikuu basi Taifa limepata hasara kubwa sana.
Apa lazma utokwe povu bila sababu..Mimi nimeomba kufutwa kwa kozi nilizofundishwa na Mwl.Dr.Bashir Ally basi .Naona aibu sana kua na cheti kilichoandikwa masomo ambayo nimefundishwa na huyu Mwalimu basi.
Kweli kabisa,Ikiwa wewe ni mhitimu wa "political science" wa chuo kikuu ni kuliombea dua tu taifa hili, tulipo pana afadhali kuliko tunapoelekea.
Eeh Allah tujaalie tuepukane na majanga haya ya wanasiasa uchwara.
Ungejua maana ya BISHWEKO ni sawa na alichokiandika.Lala utaandika vizuri asubuhi mkuu,